
YANGA JESHI LAKE DHIDI YA TABORA UNITED
MILOUD Hamdi, Kocha Mkuu wa Yanga amepanga jeshi lake la kazi kamili kwa ajili ya kusaka pointi tatu dhidi ya Tabora United mchezo ambao una suhindani mkubwa huku mashabiki wakiwa wamejitokeza kwa wingi. Ipo wazi kwamba kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza, Novemba 7 2024 ubao wa Uwanja wa Azam Complex ulisoma Yanga 1-3 Tabora…