
CHE MALONE WA SIMBA SC MAMBO MAGUMU
BEKI wa Simba SC, Che Malone anatajwa kuwa kwenye hesabu za kukutana na mkono wa Thank You kutokana na kiwango chake kuporomoka kwa mara nyingine tena. Beki huyo ambaye ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Fadlu Davids mara baada ya kurejea kutoka kutokuwa fiti baada ya kuumia kwenye mchezo dhidi ya Azam FC, mwendo…