Yanga SC vs KVZ kinawaka leo NMB Mapinduzi Cup

YANGA SC vs KVZ ni mchezo wa kwanza wa ushindani ndani ya mwaka mpya 2026 ambao umeanza na matukio ya michezo yakiendelea. Ikumbukwe kwamba Januari 3 2025, Yanga SC chini ya Kocha Mkuu, Pedro Goncalves waliwasili salama Zanzibar kwa maandalizi ya mwisho mchezo wa leo Januari 4,2026. Kocha huyo ameweka wazi kwamba wanaingia kwa tahadhari…

Read More

Mali Yafuzu Robo Fainali ya AFCON 2025 Baada ya Kuifunga Tunisia kwa Penalti

Djigui Diarra na wenzake wa Mali wametinga robo fainali ya Kombe la Mataifa Afrika AFCON 2025 kufuatia ushindi wa penalti 3-2 dhidi ya Tunisia katika dimba la Mohammed V, Casablanca kwenye hatua ya 16 bora. FT: Mali πŸ‡²πŸ‡± 1-1 πŸ‡ΉπŸ‡³ Tunisia ⚽ 90+6’ Sinayoko ⚽ 88’ Chaouat MATUTA: πŸ‡²πŸ‡± Mali: βŒβœ…βŒβœ…βœ… πŸ‡ΉπŸ‡³ Tunisia: βœ…βŒβœ…βŒβŒ ROBO…

Read More

Arsenal Yaendelea Kukimbia EPL Yaichapa Bournemouth 3–2 Ugenini

Arsenal imeendelea kuonesha ubabe kwenye Ligi Kuu England baada ya kupata ushindi wa tano mfululizo, mara hii wakiichapa AFC Bournemouth mabao 3–2 katika dimba la Vitality Stadium. Licha ya wenyeji kuanza kwa kasi kupitia bao la Evanilson dakika ya 11, Arsenal walijibu haraka kupitia Magallanes dakika ya 16 na kufanya matokeo kuwa 1–1 hadi mapumziko….

Read More

Shilole Apata Ajali Njiani Akitoka Kigoma Kurudi Dodoma

Msanii wa Bongo Muvi na mjasiriamali anayemiliki mgahawa maarufu wa Shishi Food, Zuwena Mohamed amepata ajali ya gari akiwa njiani kurudi Dodoma kutoka Kigoma, baada ya kushiriki shughuli ya kijamii ya Pilau Day iliyoratibiwa na Mbunge wa Kigoma Mjini, Babalevo. Mbunge Babalevo kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii amethibitisha tukio hilo. β€œJana usiku dada…

Read More

Wachezaji Wawili wa Yanga Hawajaripoti Singida SC Unguja

Wachezaji wawili wa Yanga ambao walipaswa kujiunga na Singida SC kwa mkopo bado hawajaripoti kambini huko Unguja. Wachezaji hao ni Momo Doumbia na Musa Balla Conte. Wakati huo, wachezaji wa Singida SC tayari wamesharipoti kambini Jangwani. Singida SC inasikilizia hadi kesho ili kuona kama wachezaji wa Yanga watawasili. Yanga SC watasafiri kuelekea Unguja ikiwa wachezaji…

Read More

Gates of Halloween Kuendelea Kukuangazia Bahati Ndani ya Meridianbet

Ingawa siku za Halloween zimepita, msisimko wake bado unatawala ndani ya Meridianbet. Kupitia mchezo wa kasino mtandaoni Gates of Halloween, wachezaji wanapewa nafasi ya kuingia kwenye ulimwengu wa kipekee unaochanganya hofu ya kufurahisha, burudani ya kisasa, na fursa kubwa za ushindi. Kila mzunguko wa mchezo huu umebeba matumaini mapya. Kupata alama nane au zaidi ni…

Read More

Ratiba ya 16 bora AFCON 2025

16 bora AFCON 2025 nchini Morocco ratiba hii hapa Jumamosi, Januri 3,2026 Senegal vs Sudan saa 1:00 usiku Mali vs Tunisia saa 4:00 usiku Jumapili, Januari 4,2026 Morocco vs Tanzania saa 1:00 usiku Afrika Kusini vs Cameroon saa 4:00 usiku Jumatatu, Januari 5,2026 Misri vs Benin saa 1:00 usiku Nigeria vs Msumbiji, saa 4:00 usiku…

Read More

AFCON Yazua Balaa: Aubameyang Afungiwa, Gabon Yasimamisha Timu, Kocha Aachishwa Kazi

Serikali ya Gabon imesitisha ushiriki wa timu ya taifa ya soka β€œThe Panthers” na kumfungia mshambuliaji nyota Pierre-Emerick Aubameyang, kufuatia kutolewa kwao kwenye Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON). Hatua hizo zilitangazwa na Waziri wa Michezo, Simplice-Desire Mamboula, baada ya Gabon kufungwa 3–2 na Ivory Coast mnamo Desemba 31, huku wakimaliza mkiani katika…

Read More

Likizo Kubadilishwa Kuwa Uzoefu wa Ushindi Na Sweet Holiday Chase

Kipindi hiki cha mapumziko, Meridianbet imeleta kitu kipya kabisa, Sweet Holiday Chase, promosheni inayochanganya burudani, msisimko na bahati katika kifurushi kimoja kama zawadi za msimu huu wa mapumziko. Kwa mfuko wa zawadi unaokadiriwa kufikia TSh 14,500,000,000/- hii si ofa ya kupita tu, ni fursa ya ushindi inayokukaribisha kuifungua kama sanduku la zawadi kila unapozungusha. Tofauti…

Read More