
YANGA SC WANAUTAKA UBINGWA WAO
MABINGWA watetezi wa CRDB Federation Cup, Yanga SC wamebainisha kuwa mpango mkubwa ni kutwaa taji hilo kwa mara nyingine kutokana na uimara wa kikosi walichonacho. Yanga SC imeandika rekodi ya kutinga fainali ya CRDB Federation Cup mara tano ikiwa ni timu ambayo imekuwa kwenye mwendelezo mzuri katika kuandika rekodi kali ambazo bado hazijavunjwa. Ipo wazi…