Afrika Kusini Yafuzu 16 Bora AFCON 2025, Misri Yakosa Ushindi

Timu ya Taifa ya Afrika Kusini, Bafana Bafana imefuzu kwenda hatua ya 16 bora ya kombe la Mataifa Afrika AFCON 2025 kufuatia ushindi wa 3-2 dhidi ya Zimbabwe huku Misri ambayo ilishafuzu kwenda hatua hiyo ikitoshana nguvu na Angola kwa sare tasa.

FT: Zimbabwe πŸ‡ΏπŸ‡Ό 2-3 πŸ‡ΏπŸ‡¦ Afrika Kusini
⚽ 19’ Maswanhise
⚽ 73’ Modiba (og)
⚽ 07’ Moremi
⚽ 50’ Foster
⚽ 82’ Appollis (P)

FT: Angola πŸ‡¦πŸ‡΄ 0-0 πŸ‡ͺπŸ‡¬ Egypt

MSIMAMO KUNDI B (baada ya mechi tatu)
1. πŸ‡ͺπŸ‡¬ Egypt β€” pointi 7
2. πŸ‡ΏπŸ‡¦ South Africa β€” pointi 6
3. πŸ‡¦πŸ‡΄ Angola β€” pointi 2
4. πŸ‡ΏπŸ‡Ό Zimbabwe β€” pointi 1