Camara ni njano na kijani
Mohamed Damaro Camara rasmi ni mali ya Yanga SC ikiwa ni zawadi kwa mashabiki ndani ya 2025 kwa kazi ndani ya 2026. Desemba 31,2025 Yanga SC ambao ni mabingwa watetezi wamemtambulisha rasmi Camara kuwa ingizo jipya kwenye kikosi hicho kinachotetea ubingwa. Hayo yote ni baada ya makubaliano kwa pande zote mbili kuhusu kupata huduma yake…