Timu ya Taifa ya Nigeria, Super Eagles imeibuka na ushindi wa 3-2 dhidi ya Tunisia kwenye mchezo wa Kundi C wa kombe la Mataifa Afrika AFCON 2025.
FT: Nigeria π³π¬ 3-2 πΉπ³ Tunisia
β½ 44β Osimhen
β½ 50β Ndidi
β½ 67β Lookman
β½ 74β Talbi
β½ 87β Abdi (P)
MSIMAMO KUNDI C
1. π³π¬ Nigeria 6Pts
2. πΉπ³ Tunisia 3Pts
3. πΉπΏ Tanzania 1Pt
4. πΊπ¬ Uganda 1Pt