Miguel Gamondi Atangaza Kikosi cha Awali cha Taifa Stars kwa AFCON 2025
Kocha wa Taifa Stars, Miguel Gamondi, ametangaza leo Desemba 3, 2025, kikosi cha awali cha wachezaji 53 kitakachoshiriki maandalizi ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON). Kikosi hiki, kinachojumuisha wachezaji wanaoshughulika kwenye ligi za ndani na nje ya Tanzania, kitaratibiwa kuondoka nchini Disemba 8, 2025, kuelekea Nchi ya Misri, kwaajili ya kambi ya maandalizi kabla…