Chelsea Yapigwa Nyumbani — Aston Villa Yaondoka na Ushindi wa 2–1 Stamford Bridge

Chelsea imejikuta ikipoteza pointi muhimu mbele ya mashabiki wake baada ya kukubali kichapo cha 2–1 dhidi ya Aston Villa katika mchezo wa Ligi Kuu England uliochezwa kwenye dimba la Stamford Bridge. Mchezo ulianza kwa kasi, na timu zote zilijaribu kumiliki mpira na kutengeneza nafasi. Aston Villa walionyesha utulivu mkubwa walipopata nafasi, jambo lililoanza kuzaa matunda…

Read More

AFCON 2025: Uganda 1-1 Tanzania, Msuva atwaa tuzo

MCHEZO wa pili kati ya mitatu katika hatua ya makundi umekamilika kwa wababe wawili kutoshana nguvu na kugawana pointi mojamoja. Baada ya dakika 90 nchini Morocco leo Desemba 27 2025 ubao umesomaUganda 1-1 Tanzania wakigawana pointi katika kundi C. Tanzania ilianza kupata goli la kuongoza dakika ya 59 kupitia kwa nyota Simon Msuva ambaye alifunga…

Read More

EPL, Serie A na AFCON 2025 Mechi Zinazovutia Leo Mashabiki, Tanzania Vs Uganda

Anza kutengeneza pesa zako na wakali wa ubashiri Tanzania yaani Meridinabet kwani ODDS za kibabe zipo kwenye michuano hii mikubwa ya AFCON. Ingia kwenye akaunti yako na ubeti sasa. EPL kama kawaida itarindima ambapo Manchester City watakuwa ugenini kusaka ushindi dhidi ya Nottingham Forest huku mechi ya mwisho kukutana, Pep Guardiola na vijana wake walishinda….

Read More

Hiba Abouk Aomba Msamaha kwa Achraf Hakimi Baada ya Talaka, Mashaka Kuhusu Sababu Za Nje

Mke wa zamani wa nyota wa PSG, Achraf Hakimi, Hiba Abouk, amedaiwa kuomba msamaha na kueleza kuzungushwa na majuto kwa kuomba talaka. Vyanzo vya karibu vinavyomfahamu mwanamitindo huyo wa Hispania vinadai kwamba Abouk alitenda kwa mihemko baada ya kuathiriwa na marafiki wake, na sasa anamuomba Hakimi amrudie. Hata hivyo, hali hii imeibua mashaka miongoni mwa…

Read More

Morocco washikwa — Mali wawatibulia sherehe

Wenyeji wa AFCON 2025, Morocco, wamelazimishwa sare ya 1–1 na Mali kwenye dimba la Prince Moulay Abdellah, uwanja wenye uwezo wa kuingiza mashabiki 69,500. Morocco walitangulia kwa penalti ya Brahim Diaz dakika ya 45+5’, kabla ya Sinayoko kuisawazishia Mali kwa mkwaju wa penalti dakika ya 64’. FT: Morocco 🇲🇦 1–1 🇲🇱 Mali⚽ 45+5’ — Diaz…

Read More

Hassan Mwakinyo amchapa Eribo kwa KO raundi ya pili

Bondia nyota wa Tanzania, Hassan Mwakinyo, ameendeleza ubabe baada ya kushinda kwa knockout (KO) dhidi ya mpinzani wake kutoka Nigeria, Eribo, katika pambano lililofanyika usiku wa leo kwenye Ukumbi wa Warehouse, Masaki — Dar es Salaam. Mwakinyo alimaliza kazi ndani ya mizunguko miwili tu, akitumia umakini na kasi kubwa, jambo lililowafanya mashabiki waliokuwa ukumbini kusimama…

Read More

Wamerudiana! Harmonize Amshangaza Kajala Jukwaani, Zanzibar Yazizima

Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Harmonize, ameibua shangwe kubwa baada ya kutangaza wazi kuwa amerejea katika uhusiano na Kajala Frida usiku wa kuamkia leo Desemba 26, 2026 wakati akifanya sho0 Zanzibar. Tukio hilo lililovutia mashabiki wengi, Harmonize alimuita Kajala jukwaani na kumtuza maneno ya upendo, akisisitiza kuwa: “Kajala ndiye mwanamke mrembo zaidi kuwahi kumuona duniani.”…

Read More

Shinda Samsung A26 Leo Jumatano kwa Kubashiri Rahisi Kupitia *149*10#

Bila Intanenti ni rahisi kabisa kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kushindania Samsung A26 na Meridianbet leo. Jumatano ya Zawadi ipo kwaajili yako siku ya leo inaweza kukupa furaha sana. Jumatano hii haifanani na nyingine yoyote. Ni siku ambayo Meridianbet inawasha moto wa bahati kwa njia ambayo haijawahi kutokea. Kwa mara nyingine tena, wateja wote wanaopenda kubashiri…

Read More

Meridianbet Yafungua Mlango Wa Msisimko Mkubwa Kupitia Zombie Apocalypse

Meridianbet imezidi kuwapa wachezaji wake sababu ya kutabasamu baada ya kutangaza ofa mpya ya kusisimua kupitia ushirikiano wake na Expanse Studios. Ofa hii inaleta upekee wa hali ya juu kwa kuunganisha burudani, hofu na fursa ya ushindi mkubwa ndani ya mchezo wa Zombie Apocalypse. Kupitia mpango huu maalum, mchezaji anayekamilisha mizunguko 100 ya uchezaji leo…

Read More