
WAZIRI MKUU ARIDHISHWA NA MABORESHO YANAYOENDELEA KWA MKAPA
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa Mei 17, 2025 amekagua ukarabati wa uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam ikiwa ni muendelezo wa ziara zake za kukagua maboresho ya viwanja kwa ajili ya maandalizi ya mashindano ya AFCON na CHAN yanayotarajiwa kufanyika nchini hivi karibuni. Akiwa uwanjani hapo, Majaliwa ambaye aliambatana na Waziri wa Habari, Utamaduni,…