
AZAM FC WABANWA MBAVU AZAM COMPLEX
WAUAJI wa Kusini, Namungo wamesepa na pointi moja Azam Complex ubao uliposoma Azam FC 1-1 Namungo FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliokuwa na ushindani mkubwa mwanzo mwisho katika kuvuja jasho dakika 90. Bao la mapema kwa Namungo lilifungwa na Hamis Halifa dakika ya 12 akiwa nje ya 18 akitumia pasi kutoka kwe Legend,…