
HUYU HAPA MKALI KWENYE KUCHEKA NA NYAVU BONGO
LIGI Kuu Tanzania Bara inazidi kushika kasi ikiwa ni mzunguko wa pili kasi inazidi kuendelea ambapo ni Jean Ahoua anaongoza chati kwenye eneo la utupiaji wa mabao. Kufunga hat trick mbele ya Pamba Jiji, Mei 8 2025 kumempa nafasi kumshusha kinara mzawa Clement Mzize ambaye ana mabao 13 ndani ya kikosi cha Yanga SC kinachonolewa…