
KAMATI YA LIGI KUU YAWAPELEKA KAMATI YA MAADILI ALI KAMWE NA HAMIS MAZANZALA
Kamati ya uendeshaji na usimamizi wa Ligi imewapeleka kwenye kamati ya maadili ya shirikisho la mpira wa miguu nchini (TFF), ofisa habari wa klabu ya Yanga Ali Kamwe na Ofisa habari wa klabu ya Kagera Sugar, Hamis Mazanzala kwa tuhuma za kutenda makosa ya kimaadili kupitia machapisho yao kwenye kurasa za mtandao wa kijamii wa…