
UBAYA UBWELA WAKUTANA NA NAMUNGO, YAPIGWA 0-3 SIMBA
LEONEL Ateba anasalia na mabao 8 ndani ya Ligi Kuu Bara baada ya kukosa penalti dakika ya 51 mbele ya Namungo baada ya kipa Jonathan Nahimana kuokoa penalti hiyo iliyosababishwa na Elie Mpanzu. Ubayaubwela umeibukia Namungo kwa pointi tatu kuwa mali ya Simba wakiwa ugenini ndani ya dakika 90 kwenye mchezo wa mzunguko wa pili….