
YANGA KUSAKA TIKETI KUTINGA FAINALI
KUTOKA ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga SC inakibarua cha kusaka tiketi kutinga fainali Muungano Cup 2025 kwa kusaka ushindi dhidi ya Zimamoto FC saa 1:15 Uwanja wa Gombani, Pemba. Β Kwenye robo fainali ya Zimamoto ilikuwa ni Aprili 25 2025 ilipata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Coastal Union inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara….