


RATIBA YA LIGI KUU BARA, SIMBA NA YANGA KAZINI
BURUDANI ya Ligi Kuu Tanzania Bara inayodhaminiwa na NBC inaendelea ambapo Februari 5 2025 kuna mechi kali mbili kwa wababe kuwa uwanjani kusaka pointi tatu muhimu na kivumbi kitaendelea Fenbruari 6 2025. Tabora United v Namungo na Yanga itakuwa dhidi ya Ken Gold hizi mbili ni mechi za Februari 5 2025 kwa wababe kuwa kazini…

VIDEO: AHOUA HATAKOSA PENATI, MJANJA
WAKALI wa kucheka na nyavu kwenye upande wa Simba wakiwa na majukumu ya mapigo ya penati ndani ya kikosi cha Simba ikiwa ni Leonel Ateba na Jean Ahoua wamepewa asilimia kubwa yakuwa kwenye mwendelezo mzuri wa kupata penalti. Shabiki wa Simba, Banda Jr ameweka wazi kuwa Ahoua ni mjanja na hatakosa penati ndani ya kikosi…

KOCHA YANGA NA SAFARI YAKE YA MWISHO
KOCHA bora Desemba mechi yake ya mwisho ilikuwa dhidi ya Kagera Sugar mchezo uliochezwa Uwanja wa KMC, Complex.Katika mchezo huo baada ya dakika 90 ubao ulisoma Yanga 4-0 Kagera Sugar wakakomba pointi tatu muhimu na kukaa namba moja kwenye msimamo kwa saa 24. Ni Sead Ramovic hatakuwa ndani ya kikosi cha Yanga baada ya kufunga…

ATEBA NA KAPOMBE PACHA INAYOTESA SIMBA
KUNA pacha zinazotesa ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids miongoni mwa hizo ni ile ya Leonel Ateba na Shomari Kapombe kutokana na kujibu kwenye mechi za kitaifa na kimataifa. Simba ni namba moja kwenye msimamo ikiwa na pointi 43 mchezo wao ujao wa ligi ni dhidi ya Fountain Gate unaotarajiwa…

COIN STRIKE HOLD & WIN KASINO INAYOTOA USHINDI MKUBWA
Meridianbet wanakuletea mchezo mwingine wa kasino ya mtandaoni ambao utakupa nafasi ya kushinda moja ya jakpoti nne kubwa. Kazi yako ni kufurahia tu burudani, na hakuna shaka kwamba utafaulu kushinda zawadi kubwa kwenye safari hii. JISAJILI HAPA kuingia mchezoni. Coin Strike Hold and Win ni sloti bomba kutoka kasino ya mtandaoni inayotolewa na mtoa huduma…

JONATHAN IKANGALOMBO KUWAKOSA KEN GOLD KESHO
Kuelekea mchezo wa Ligi Kuu bara kati ya wenyeji Yanga Sc dhidi ya Ken Gold Fc utakaopigwa kesho Februari 05, 2025 katika dimba la KMC Complex, kocha wa Yanga, Sead Ramovic amesema winga Mkongomani, Jonathan Ikangalombo Kapela aliyesajiliwa dirisha dogo kwa sasa hawezi kutumika kwa sababu hana utimamu mzuri wa mwili. “Jonathan ni mchezaji mzuri…

MERIDIANBET WAILETA EARLY PAYOUT
Wakongwe na waandamizi wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet wamekuletea chaguo jipya linalofamika kama Early payout ambalo litakwenda kuwapatia mkwanja kwa wepesi wale wanaobashiri mpira wa miguu. Meridianbet wamekuja na kitu iinaitwa early payout hii ikiwa na maana mshindi atahesabiwa pale tu timu ambayo ameiwekea ubashiri kuongoza kwa tofauti ya mabao mawili, Kwa mfano…

SIMBA WATANGAZA TENDA YA MTENGENEZA JEZI MWINGINE
Klabu ya Simba imetangaza tenda ya kutafuta mwekezaji mpya kwa ajili ya kuzalisha na kusambaza jezi na bidhaa nyingine za klabu hiyo baada ya kufanya kazi na Sandaland Only one kwa kipindi kifupi, nafasi aliyoichukua kutoka kwa Fred Vunja bei. CALL FOR APPLICATION: Simba Sports Club (“the Club”) is looking for a qualified, experienced and…

DUBE GARI LIMEWAKA, MWENDO UONGEZWE
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Prince Dube gari limewaka wanasema kutokana na kasi yake kuzidi kuimarika kwenye kucheka na nyavu kwenye mechi za ushindani ndani ya uwanja. Bado ana deni la kuongeza mwendo ili kufunga mabao mengi kwa kuwa kwenye mechi za hivi karibuni amekuwa akikosa umakini kwenye nafasi anazopata kamailivyokuwa kwenye mchezo wa ligi dhidi ya…

ANZA WIKI KWA KUPIGA MAOKOTO NA MERIDIANBET
Wiki ndio hiyo imeanza na matumaini mapya kwa wewe ambaye ulishindwa kutusua wikendi. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo Meridianbet. Ingia na ubashiri sasa. Tukianza na Hispania LALIGA itaendelea kwa mchezo mmoja ambapo Girona baada ya kupoteza mechi iliyopita, leo hii atakuwa nyumbani kumenyana dhidi ya UD Las Palmas ambao wapo nafasi ya…

SIMBA YACHEKELEA KULIPA KISASI KWA TABORA UNITED
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa umefurahi kulipa kisasi dhidi ya timu ambazo zilifungwa na Tabora United kwenye mechi za ushindani ambazo zilichezwa msimu wa 2024/25 ndani ya uwanja. Simba imecheza mechi 16 za Ligi Kuu Bara inayodhaminiwa na NBC ikiwa ni ligi namba nne kwa ubora Afrika. Timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu…

MCHEZAJI BORA YANGA AFICHUA JAMBO
MCHEZAJI bora kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar uliochezwa Uwanja wa KMC, Complex, Maxi Nzengeli amesema kuwa mwalimu wa timu hiyo anahitaji kujituma zaidi katika mechi za ushindani. Katika mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa KMC, Complex Februari Mosi baada ya dakika 90 ubao ulisoma Yanga 4-0 Kagera Sugar ambapo Maxi…

CHEZA KASINO BULLS EYE BELLS USHINDE BONASI NA JACKPOT KUBWA
Tunakuletea safari ya kasino mtandaoni ya kusisimua sana ambayo imejaa bonasi za kasini za kumwaga. Jukumu lako ni kukusanya ushindi kadri iwezekanavyo, na ukifanikiwa, hautakosa mafanikio ya ajabu. Jisajili hapa ili usipitwe na mchezo huu. Bulls Eye Bells ni mchezo wa kasino ya mtandaoni unaoletwa kwenu na mtengenezaji wa michezo wa Playtech. Katika mchezo huu,…

TABORA UNITED YAPOTEZA,SIMBA YAISHUSHA YANGA
IKIWA ugenini dhidi ya Tabora United Simba imepata ushindi wa mabao 3-0 baada ya dakika 90 kukamilika. Leonel Ateba alifunga mabao mawili dakika ya 12 na 34 kwa mkwaju wa penalti baada ya Mpanzu kuchezewa faulo na beki wa Tabora United ndani ya 18. Ateba anafikisha mabao 7 sawa na kiungo mshambuliaji Jean Ahoua ambaye…

VIDEO: YANGA WAMEJERUHIWA KILA MPINZANI KUKUTANA NACHO
MZEE wa Mashuka shabiki wa Yanga ameweka wazi kuwa ingizo jipya ndani ya Yanga linafanya mazoezi kwa ajili ya mechi ya tarehe 8 huku akibainisha kuwa wamejeruhiwa na kwenye mechi zote ambazo watacheza watapambana kufanya vizuri kwa kuwa walifanya makosa na watafanyia kazi kwenye anga la kimataifa wakirejea

HIKI HAPA KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA TABORA UNITED
Kipa namba mbili wa Simba, Ally Salim ameanzia benchi kwenye mchezo dhidi ya Tabora United unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi. Salim alianza katika mchezo uliopita dhidi ya Kilimanjaro Wonders ambao ulikuwa ni CRDB Federation Cup. Kikosi kipo namna hii:- Mousa Camara, Shomari Kapombe, Zimbwe Jr, Hamza Jr, Che Malone. Yusuph Kagoma, Kibu Dennis,…