
SIMBA SC: TUTAKUWEPO UWANJA WA MKAPA
YANGA SC vs Simba SC mechi namba 184 inatarajiwa kupigwa Uwanja wa Mkapa, Juni 25 2025 ikiwa ni mzunguko wa pili kwa wababe hawa kukutana ndani ya uwanja katika dakika 180. Kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Simba SC 0-1 Yanga SC. Mchezo wa leo…