
YANGA YAKOMBA SITA ZA COASTAL UNION JUMLAJUMLA
KIUNGO wa Yanga, Pacome amepachika bao pekee la ushindi kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Coastal Union uliochezwa Uwanja wa KMC Complex dakika ya 34 kipindi cha kwanza akitumia pasi ya Maxi Nzengeli. Pacome amekuwa kwenye ubora wake na katika mchezo dhidi ya Tabora United, Aprili 2 2025 alitoa pasi mbili za mabao alimpa Prince…