>

KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA AL HILAL YA SUDAN

FUNGA Agosti 2024 Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids inashuka Uwanja wa KMC Complex kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Al Hilal ya Sudan.

Hiki hapa kikosi cha Simba kinachoanza:-

Manula

Kapombe

Nouma

Che Malone

Chamou

Kagoma

Kibu

Fernades

Ateba

Chasambi

Awesu

Kwa wachezaji wa akiba ni:-

Hussen

Duchu

Kazi

Kijili

Hamza

Mzamiru

Omary

Okejapha

Mutale

Karabaka

Mashaka