
YANGA KUJA NA SHEREHE KUBWA YA UBINGWA
MABINGWA mara 30 wa Ligi Kuu Bara wamebainisha kuwa wanakuja na mpango kazi mkubwa wa sherehe za ubingwa wa ligi kwa msimu wa 2023/24. Ipo wazi kuwa Yanga baada ya kucheza mechi 27 ikibakiwa na mechi tatu imetwaa taji la ligi chini ya Kocha Mkuu Miguel Gamondi. Kwa sasa Yanga ipo Arusha kuelekea kwenye maandalizi…