MAAJABU YA NYOTA YAKO KUFANIKISHA USHINDI UNAPOCHEZA SLOTI YA ZODIAC

Hii ni kwa wale wanao sumbuliwa na nyota zao au wanaotaka kufahamu kuhusu elimu ya nyota, tafadhari soma kwa makini ujifunze kuhusu nyota na faida zake. Pia ndani ya Meridianbet kuna mchezo wa kasino ya mtandaoni unaitwa Zodiac unakurahisishia safari yako ya kutengeneza pesa kwa kuzingatia nyota yako.

 

Fahamu Kuhusu Elimu ya Nyota (Zodiac System)

 

Mfumo wa Zodiac ni njia ya kale ya unajimu inayogawa anga/jua katika sehemu kumi na mbili, kila moja ikiwa na uhusiano na kundinyota maalum.

Sehemu hizi zinajulikana kama alama za Zodiac, na kila moja inalingana na kipindi fulani cha mwaka, ikionyesha nafasi ya jua wakati wa kuzaliwa kwa mtu.

Kuna alama 12 za makundi ya nyota nazo ni kama ifuatavyo:

 

NDOO (Jan 20- Februari 19)

SAMAKI (Februari 20- Machi 20)

PUNDA (Machi 20-Aprili 20)

NGOMBE (Aprili 21- Mei 20)

MAPACHA (Mei 21- Juni 20)

KAA Juni 21- Julai 22)

SIMBA (Julai 22-Agosti 22)

MASHUKE (Agosti 23-Sep 23)

MIZANI (Sept 23-Oktoba 23)

NGE (Oktoba 23-Nov 22)

MSHALE (Nov 22- Desemba 21)

MBUZI (Desemba 21- Jan 20)

 

Kila alama inaaminika kuwa na athari kwa tabia, mwenendo, na hatima ya mtu, hivyo unashauriwa kuwa makini kwenye mtindo wako wa maisha na aina ya mahusiano unayotengeneza kwa watu wako, aidha mpenzi, mke, mume. Meridianbet Kasino ya mtandaoni inakupa mchezo wa sloti wa Zodiac. Cheza hapa.

 

Wanajimu hutumia mfumo wa nyota kutengeneza picha au taswira ya mambo ya mbele, ambao ni utabiri unaotegemea mpangilio wa sayari na nyota.

 

Elimu ya nyota pia inahusishwa na vipengele vinne vya kiasili: moto, ardhi, hewa, na maji, ambavyo vinafafanua zaidi sifa za kila alama.

 

Kuhusu Mchezo wa Kasino Zodiac.

 

Mchezo wa Zodiac ni sloti kutoka kwa mtengenezaji maarufu wa michezo ya kasino ya mtandaoni, Gamevy. Mchezo huu umejaa bonasi za kasino ambazo zitakufurahisha! Jiandae kufurahia majokeri bora, jakpoti za ajabu, na mizunguko ya bure.

 

Taarifa Muhimu

 

Mchezo wa Zodiac una nguzo tano kwenye safu tatu na ina mistari 10 ya malipo isiyobadilika. Ili kushinda, unahitaji kuunganisha alama tatu au zaidi zinazolingana kwenye mstari wa malipo.

 

Kila mchanganyiko wa kushinda, isipokuwa zile za alama za jakpoti, huhesabiwa kutoka kushoto kwenda kulia kuanzia milolongo ya kwanza upande wa kushoto.

 

Kwenye mstari mmoja wa malipo katika mchezo huu wa kasino ya mtandaoni, unaweza kupata ushindi mmoja tu. Ikiwa una mchanganyiko zaidi wa kushinda kwenye mstari mmoja, utalipwa ushindi wenye thamani kubwa zaidi.

 

Kwa kubofya kitufe chenye picha ya sarafu, utapata menyu ya Bet ambapo unaweza kuchagua ukubwa wa dau lako kwa kila mzunguko.

 

Pia kuna kipengele cha Autoplay ambacho unaweza kukiendesha wakati wowote utakapo. Kipengele hiki kitazindua mizunguko isiyo na kikomo moja kwa moja.

 

Ikiwa unapenda mchezo wenye kasi zaidi, tuna suluhisho kwako. Washa mizunguko ya haraka kwa kubofya kitufe chenye picha ya radi. Ni muda wako sasa wa kufurahia mchezo huu ndani ya Meridianbet Kasino.

 

Alama za Ushindi Kwenye Mchezo wa Zodiac.

 

Kuhusu alama za mchezo huu wa kasino ya mtandaoni sio kama zile za unajimu bali alama za kadi za kawaida hutumika kama ushindi: 10, J, Q, K, na A ndizo zinazoleta malipo madogo. Alama hizi zimegawanywa katika makundi kulingana na thamani ya malipo, na alama ya A ndiyo yenye thamani kubwa zaidi kuliko nyingine.

 

Alama zingine ni mambo ya sayari ya dunia. Kinachovutia ni kwamba hewa inaleta malipo sawa na alama ya A. Ukikusanya alama tano za hewa kwenye mstari wa malipo, utashinda mara 20 ya dau lako.

 

Alama mbili zinazofuata pia zina malipo sawa. Hizi ni alama za ardhi na maji. Ukikusanya alama tano za hizi kwenye mstari wa malipo, utashinda mara 30 ya dau lako.

 

Alama ya moto ndiyo yenye thamani kubwa zaidi kati ya alama za msingi za mchezo huu wa sloti. Ukikusanya alama tano za moto kwenye mstari wa malipo, utashinda mara 50 ya dau lako.

 

 

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz