ORODHA YA MASTAA SIMBA AMBAO WATASEPA, MMOJA AMESHAKATWA

KUNA orodha ndefu ya mastaa wa Simba ambao watasepa katika timu mara baada ya mzunguko wa pili kugota mwisho kutokana na mikataba yao kugota mwisho wengine ni ofa mpya ambazo wanazo mezani jambo litakalofungua hesabu za wao kuondoka jumlajumla. Inatajwa kuwa mwamba Kramo jina lake limeshaondolewa mazima kwenye orodha ya wachezaji wa Simba kutokana na kutokuwa fiti kwa muda mrefu.