
AMEMALIZANA NAO MAPEMA SANA SIMBA NYOTA HUYU
INATAJWA kwamba beki wa kupanda na kushuka Israel Mwenda amepewa dili jingine la kuendelea kuitumikia timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda.
INATAJWA kwamba beki wa kupanda na kushuka Israel Mwenda amepewa dili jingine la kuendelea kuitumikia timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda.
LIGI Kuu Tanzania Bara mzunguko wa pili wa funga kazi unatarajiwa kuwa Mei 28 2024 kwa kila timu kusaka pointi tatu muhimu ndani ya uwanja. Ipo wazi bingwa ni Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi hesabu ni kwenye tuzo ya kiatu bora na nani atamaliza nafasi ya pili msimu wa 2023/24. Mechi za mwisho…
NYOTA wa Simbaa baada ya kumaliza kete yao ya 29 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya KMC wamerejea Dar kwa maandalizi ya kete ya mwisho msimu wa 2023/24. Ni Mei 25 ubao wa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid baada ya dakika 90 ulisoma Simba 1-0 KMC. Bao pekee la ushindi kwenye mchezo huo…
Ndugu mteja kama jana hujabahatika kupiga maokoto ndani ya meridianbet, basi nafasi hiyo unayo leo ambapo ligi mbalimbali zinaendelea. Weka dau dogo pata pesa kibao. Usisubiri kupitwa na maokoto ya leo. SUPER LIG kule Uturuki inalazika leo ambapo kuna timu zinataka ushindi zichukue kombe na zingine zinapambana kutoshuka daraja. Fenerbahce atamenyana dhidi ya Instanbulspor ambaye…
Klabu ya Yanga SC wamekabidhiwa Kombe lao la Ubingwa wa Ligi Kuu Bara Mei 25, 2025 mara baada ya kumalizika kwa mchezo wao dhidi ya Tabora United FC. Yana wameibuka na ushindi wa goli tatu kwa bila na kutimiza alama 77 katika msimamo wa ligi kuu Tanzania Bara.
Meridianbet na Kigamboni ni damudamu kwani wamekua na ushirikiano mzuri katika matukio mbalimbali, Ndio sababu Meridianbet wamefika tena Mei 25, 2024 eneo hilo na kuigusa jamii ya watu wa Kigamboni. Mabingwa hao wa michezo ya kubashiri walifika Kigamboni kwenye eneo la Mji mwema kutoa msaada wa Reflectors kwa Bodaboda wanaopatikana katika eneo hilo, Lakini pia…
MZUNGUKO wa pili wa Ligi Kuu Bara mechi nane zimechezwa na kurushwa mubashara Azam TV huku nyota wawili Feisal Salum wa Azam FC na Aziz KI wa Yanga kila mmoja akifunga kwenye mchezo husika. Fei kafunga mabao mawili dhidi ya Kagera Sugar akifikisha mabao 18 sawa na Aziz KI ambaye amefunga bao moja kwenye mchezo…
Kampuni kubwa ya ubashiri Tanzania Meridianbet inaendelea kukuaminisha kuwa wao ndio kila kitu kama ukiamua kubeti nao. Suka mkeka wako hapa na uchague timu zako za ushindi ili uanze kutengeneza mpunga wako sasa. Mtanange mzito barani Afrika ni huu wa Fainali ya pili ya CAF na mwenyeji atakuwa Al Ahly kutoka Misri dhidi ya Esperance…
MZUNGUKO wa pili wa Ligi Kuu Bara unaendelea ambapo leo zinachezwa mechi 8 zinarushwa live pia Azam TV. Haya hapa matokeo ya mechi hizo dakika 45 za mwanzo namna hii pamoja na sehemu inayorushwa na Azam TV:- Simba 1-0 KMC LIVE inarushwa AzamSports2HD. Azam 0-0 Kagera Sugar LIVE AzamSports3HD Singida 2-0 Geita Gold LIVE Sinema…
LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea ikiwa ni mzunguko wa pili na leo Mei 25 zinatarajiwa kuchezwa Mechi 8. Huu ni mzunguko wa pili na kila timu imebakiwa na mechi mbili, wadhamini wakuu ni NBC tayari wameshakamilisha mpago wa kutoa taji kwa mabingwa ambao ni Yanga huku Azam TV mwendelezo wao ni kurusha matangazo live. Hapa…
MASTAA wawili wanaofanya kazi kubwa kwenye kutimiza majukumu yao ndani ya uwanja katika mechi za Ligi Kuu Bara, Aziz KI na Feisal Salum wamefungukia hatma yao kuhusu kutwaa tuzo ya kiatu cha ufungaji bora. Mei 25 wababe hao wawili kila mmoja atakuwa kazini kupambania nembo ya timu ambapo Yanga watakuwa na kibarua dhidi ya Tabora…
INAELEZWA kuwa kuna nyota ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu Juma Mgunda anasepa katika kikosi hicho kwa ajili ya kupata changamoto mpya.
MABINGWA wa Ligi Kuu Bara, Yanga msimu wa 2023/24 wamebainisha kuwa moja ya malengo yaliyopo ni kupata ushindi kwenye mchezo wao dhidi ya Tabora United. Leo Mei 25 Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu Miguel Gamondi inakibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya Tabora United. Mchezo huo ni maalumu kwa Yanga kukabidhiwa taji la ligi ambalo…
RAIS wa shirikisho la soka Afrika (CAF), Patrice Motsepe yupo Tanzania akiwa Visiwani Zanzibar kwenye fainali za African Schools Football ambapo akiwa huko amezungumza na Waandishi wa Habari masuala mengi kuhusu michezo. Kwenye mazungumzo yake rais huyo amegusia na bao ambalo alifunga kiungo mshambuliaji wa Yanga, Aziz KI kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika…
FUNGA kazi inaendelea ndani ya Ligi Kuu Bara ambapo Mei 25 kunatarajiwa kuwa na mechi kali za maamuzi kwa kila timu kupambania pointi tatu muhimu. Hii hapa ratiba ipo namna hii:- Coastal Union v JKT Tanzania, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Simba dhidi ya KMV, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha. Ihefu v Dodoma Jiji, Uwanja…
Nauleta kwenu kwenu mchezo mwingine wa kasino ya mtandaoni wenye utamu kama pipi. Lengo lako ni kupangilia pipi hizo kwenye mchanganyiko wa kushinda, kisha unaweza kufurahia ladha yake. Ushindi wa juu kabisa kwenye mchezo huu wa sloti ni mara 5,000 ya dau lako. JISAJILI HAPA kufurahia maajabu ya Meridianbet Kasino. Spin Spin Sugar ni…
ANASEPA mwamba Aziz KI Yanga kwenda kupata changamoto mpya? Simba waibuka na kuzungumzuia ishu yake, Yanga wabainisha kila kitu