HT: MATOKEO YA MECHI 8 LIGI KUU BONGO

MZUNGUKO wa pili wa Ligi Kuu Bara unaendelea ambapo leo zinachezwa mechi 8 zinarushwa live pia Azam TV.

Haya hapa matokeo ya mechi hizo dakika 45 za mwanzo namna hii pamoja na sehemu inayorushwa na Azam TV:-

Simba 1-0 KMC LIVE inarushwa AzamSports2HD.

Azam 0-0 Kagera Sugar LIVE   AzamSports3HD

Singida 2-0 Geita Gold LIVE Sinema Zetu.

Namungo 0-1 TZ Prisons  LIVE  ZB2

Ihefu 0-1 Dodoma Jiji LIVE  Azam One

Mashujaa 3-1 Mtibwa Sugar LIVE Azam TWO

Coastal Union 0-0 JKT Tanzania LIVE  UTV