MECHI NANE KURUSHWA LIVE AZAM TV

LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea ikiwa ni mzunguko wa pili na leo Mei 25 zinatarajiwa kuchezwa Mechi 8.

Huu ni mzunguko wa pili na kila timu imebakiwa na mechi mbili, wadhamini wakuu ni NBC tayari wameshakamilisha mpago wa kutoa taji kwa mabingwa ambao ni Yanga huku Azam TV mwendelezo wao ni kurusha matangazo live.

Hapa ni mechi nane na zitakaporushwa na wadhamini kwenye upande wa matangazo live namna hii:-Yanga Vs Tabora United itakuwa ndani ya Azam Sports1HD

Simba Vs KMC LIVE itarushwa AzamSports2HD.

Azam Vs Kagera Sugar LIVE  itakuwa AzamSports3HD

Singida Vs Geita Gold LIVE Sinema Zetu.

Namungo Vs TZ Prisons  LIVE  ZB2

Ihefu Vs Dodoma Jiji LIVE itakuwa Azam One

Mashujaa Vs Mtibwa Sugar LIVE Azam TWO

Coastal Union Vs JKT Tanzania LIVE  UTV