RATIBA YA LIGI KUU BARA MZUNGUKO WA 29

FUNGA kazi inaendelea ndani ya Ligi Kuu Bara ambapo Mei 25 kunatarajiwa kuwa na mechi kali za maamuzi kwa kila timu kupambania pointi tatu muhimu.

Hii hapa ratiba ipo namna hii:-
Coastal Union v JKT Tanzania, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.

Simba dhidi ya KMV, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha.

Ihefu v Dodoma Jiji, Uwanja wa Liti.

Mashujaa v Mtibwa Sugar, Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma.

Namungo dhidi ya Tanzania Prisons, Uwanja wa Majaliwa.

Yanga dhidi ya Tabora United, Uwanja wa Mkapa

Singida dhidi ya Geita Gold, Uwanja wa Nyamagana

Azam FC dhidi ya Kagera Sugar, Uwanja wa Azam Complex