
WAJUE WAWAKILISHI WA KIMATAIFA
PAZIA la Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24 limefungwa kwa kila timu kujua ilivuna nini baada ya kupanda kwenye mechi 30 ambazo ni dakika 2,700 za jasho kuvuja kupata matokeo chanya ndani ya uwanja. Hakuna ambaye alikuwa hana mpango wa kutwaa taji la ligi ila ipo wazi ni lazima mshindi awe mmoja katika timu 16…