Mzuka wa Expanse Tournament Ndani ya Meridianbet Unaendelea

Shindano la Expanse linazidi kutoa matajiri kibao kila siku, Meridianbet wameongeza mzuka kwa wapenzi wa kasino ya mtandaoni ambapo mgao wa Tsh Milion 2,500,000/= unakusubiri wewe mpenzi wa kasino. Jisajili hapa kuingia kwenye kinyang’anyiro cha ushindi.

 

Katika promosheni hii unapokuwa unacheza mchezo wako pendwa wowote ule uliotengenezwa na Expanse, dau la chini kwa kila mchezo ni Tsh 400/= mfano Sloti ya sticky 777, unaucheza huku unapata bonasi za kasino kibao.

 

Fanya Yafuatayo Kwenye Kasino ya Mtandaoni

 

Promosheni hii imeanza 19.05. 2024 mpaka Juni 04 ambapo, bonasi za kasino zitagawiwa kwa washindi watakaokuwa wanatangazwa kila siku, baada ya kucheza moja kati ya michezo ya kasino ya mtandaoni iliyopo Meridianbet kutoka Expanse studio.

 

Promosheni ni halali kwa wachezaji waliosajiliwa kwenye APP na tovuti ya meridianbet.co.tz

 

Promosheni itafanyika katika mtindo wa mashindano kwa wachezaji kwenye sloti zinazotolewa na Expanse Studio. Michezo ya kasino ya mtandaoni itakayotumika wakati wa promosheni ni:

 

  • Battle of Egypt
  • Forest Rock
  • Fortune Farm
  • Lucky’s Betting Shop
  • Maya’s Treasure
  • Piggy Party
  • Spinning Buddha
  • Sticky 777
  • The Book of Eskimo
  • Veni Vidi Vici
  • Wild Corrida
  • Zombie Apocalypse
  • Battle for the Throne
  • Bounty Hunters
  • Capital City Derby
  • Casino Heist
  • Fairy in Wonderland
  • Odd One Out
  • Planet Power
  • Shaolin Crew

 

Kulingana na msimamo wa mwisho, wachezaji 40 watazawadiwa pesa taslimu na mizunguko ya bure kucheza kwenye kasino ya mtandaoni kama ifuatavyo:

 

  • Nafasi ya Kwanza: 1,250,000 TZS Taslimu
  • Nafasi ya Pili: 750,000 TZS Taslimu
  • Nafasi ya Tatu: 250,000 TZS Taslimu
  • Nafasi ya Nne: 125,000 TZS Taslimu
  • Nafasi ya Tano: 125,000 TZS Taslimu
  • Nafasi ya 6-10: Mizunguko ya bure -300 kwenye Slot ya PIA
  • Nafasi ya 11-20: Mizunguko ya bure -200 kwenye Slot ya PIA
  • Nafasi ya 21-30: Mizunguko ya bure- 100 kwenye Slot ya PIA
  • Nafasi ya 31-40: Mizunguko ya bure -50 kwenye Slot ya PIA

 

Ushindi utakaotokana na Mizunguko ya bure utahitaji kuzungushwa mara 60x (kwa mfano, ukishinda TZS 10,000 kwenye Mizunguko ya bure, utahitaji kucheza TZS 600,000 kwenye mchezo uleule ili kuhamisha ushindi wako kwenye akaunti ya pesa halisi).

 

Taarifa kuhusu malipo ya juu kwa kila Kundi la Mizunguko ya bure, washindi watapokea taarifa ambayo itatumwa kwao si zaidi ya saa 13:00 AM tarehe 05.06.2024.

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz