RATIBA YA LIGI KUU BARA

LEO Desemba 28 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea kuchanja mbunga ambapo timu nne zinatarajiwa kushuka uwanjani kusaka pointi tatu. Ni Coastal Union ikiwa imetoka kushinda mabao 3-2 dhidi ya Mbeya City itasaka pointi mbele ya Mtibwa Sugar iliyotoka kulazimisha sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Polisi Tanzania. Mchezo huo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa…

Read More

KIUNGO MPYA YANGA KUKUNJA MILIONI 158

IMEFAHAMIKA kuwa Yanga imetumia kitita cha Sh 50Mil kwa ajili ya kununua mkataba wa kiungo mshambuliaji wa Biashara United, Denis Nkane huku ikimpa mshahara wa Sh mil 3 kwa mwezi. Nkane ni kati ya wachezaji waliokuwa wanawaniwa vikali na timu kongwe za Yanga na Simba ambayo ilizidiwa ujanja katika kuwania saini ya kiungo huyo kinda….

Read More

KMC YASAHAU KICHAPO CHA SIMBA,HESABU ZIPO HAPA

HABIB Kondo, Kocha Msaidizi wa Klabu ya KMC amesema kuwa wamesahau matokeo waliyoyapata mbele ya Simba sasa hesabu zao ni mchezo wao dhidi ya Ruvu Shooting. KMC ilipoteza kwa kufungwa mabao 4-1 dhidi ya Simba katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi na kuwafanya wayeyushe pointi tatu mazima. Leo KMC itakuwa na kazi ya…

Read More

WAWA,SAKHO HATMA YAO MIKONONI MWA PABLO

HATMA ya kiungo mshambuliaji, Ousmane Sakho na beki Pascal Wawa na wenzao watatu wanaotajwa kuweza kuachwa kwenye usajili wa dirisha dogo itajulikana hivi karibuni kwa kuwa tayari Kocha Mkuu, Pablo Franco ameshakabidhi ripoti ya usajili.   Nyota wengine wanaotajwa kuweza kuachwa katika timu hiyo ni kiungo, Duncan Nyoni, kipa Jeremiah Kisubi, na kiungo mkabaji Abdoulswamad…

Read More

NYOTA WATATU WA AZAM FC KUIKOSA SIMBA

Bruce Kangwa, Nivere Tigere na Prince Dube wanatarajiwa kuukosa mchezo wa Ligi kuu Bara ujao dhidi ya Simba. Nyota hao wote watatu wameanza mazoezi katika timu ya taifa ya Zimbabwe. Simba na Azam FC zinatarajiwa kumenyana Januari Mosi 2022 kwenye mchezo wa kwanza wa ligi mwaka mpya. Nyota hao wote wapo nchini Zimbabwe tayari kwa…

Read More

MKUDE AFUNGA 2021 NA REKODI HII

JONAS Mkude, kiungo wa kazi zote chafu ndani ya uwanja amefunga kibabe mwaka 2021 kwa kutoa pasi yake ya kwanza ambayo ilikuwa ni zawadi ya Krismasi kwa mashabiki wake. Kiungo huyo ambaye kwa sasa ni chaguo la kwanza chini ya Kocha Mkuu, Pablo Franco awali zama za Didier Gomes hakuwa na nafasi ya kucheza kutokana…

Read More

KMC HAWANA BAHATI NA VIGOGO

KLABU ya KMC kwa msimu wa 2021/22 kwenye mechi zao mbili za vigogo ndani ya ligi hawajawa na bahati ya kusepa na pointi tatu zaidi walikuwa wakiambulia maumivu ya kunyooshwa. Ikumbukwe kwamba KMC makazi yao yapo Dar lakini kwa mechi zilizokuwa zikiwakutanisha dhidi Yanga na Simba walikuwa wakizipeleka nje ya Dar. Ilikuwa ni ile dhidi…

Read More

VIGOGO SIMBA WAKOMALIA ISHU YA CHAMA

VIGOGO wa Kamati ya Usajili ya Simba, chini ya Mtendaji Mkuu (C.E.O.) wa timu hiyo, Barbara Gonzalez, wameona isiwe shida na kuchukua maamuzi ya kupanda ndege kumfuata kiungo wao mchezeshaji Mzambia Clatous Chama anayekipiga RS Berkane ya nchini Morocco. Kiungo huyo anawindwa vikali na Yanga katika usajili huu wa dirisha dogo lililofunguliwa Desemba16, mwaka huu kwa ajili ya kukiboresha kikosi hicho. Simba imepanga kukiboresha…

Read More

MASTAA YANGA WAIPIGA MKWARA BIASHARA UNITED

MASTAA wa Yanga wameweka wazi kuwa watakachowafanyia Biashara United ni kuchukua pointi zao tatu kwa ajili ya kujiweka katika nafasi nzuri ya kutwaa ubingwa msimu huu. Yanga kwa sasa ni vinara wa Ligi Kuu Bara wakiwa wamejikusanyia jumla ya alama 23 mara baada ya kushinda michezo saba na kutoa sare miwili katika michezo tisa ambayo wamecheza mpaka sasa. Yanga leo Jumapili Desemba 26, wanatarajiwa kumenyana na Biashara United katika mchezo unaotarajiwa kuchezwa kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar….

Read More

BARBARA AWAPONGEZA WACHEZAJI WAKE

MTENDAJI Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez ameweka wazi kuwa Simba ipo imara na hesabu kubwa ni kutimiza malengo waliyojiwekea kutokana na wachezaji walionao kujituma. Kwa sasa Simba inapambana kuweza kutetea taji lake ililotwaa msimu uliopita wakivutana kwa kasi na vinara wa ligi ambao ni Yanga wenye pointi 23 huku Simba wakiwa nafasi ya pili na pointi 21. Barbara amesema kuwa wanazidi kufanya mambomazuri kwa ajili ya timu na kwa sasa…

Read More