SIMBA KUIBUKIA MWANZA LEO KUWAFUATA RUVU SHOOTING

KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu,  Pablo Franco leo Novemba 17 kinatarajiwa kukwea pupa kuelekea Mwanza kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ruvu Shooting. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Ijumaa ya Novemba 19 saa 10:00 jioni Uwanja wa CCM Kirumba. Tayari Franco raia wa Hispania aliyetambulishwa…

Read More

YANGA KUWAFUATA NAMUNGO LEO

VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara leo Jumatano, Novemba 17 wanatarajia kusepa Dar kuelekea Lindi kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo FC. Vinara hao wa ligi wakiwa nafasi ya kwanza na pointi 15 Novemba 20 watatatupa kete yao ya sita kwa kusaka ushindi mbele ya Namungo itakuwa Uwanja wa…

Read More

NAHODHA WA YANGA ACHEKELEA KURUDI BONGO

NAHODHA wa zamani wa Yanga, raia wa DR Congo, Papy Tshishimbi, amefunguka kuwa anafurahi kurudi Tanzania na kucheza soka kama ilivyokuwa awali.   Papy alisema Tanzania ni nchi ambayo aliishi kwa upendo, furaha na amani na amekuwa na marafiki wengi ambao alikutana nao akiwa anacheza Yanga. Tshishimbi amerejea tena Tanzania na kusaini mkataba wa mwaka…

Read More

MWENDO WA USHINDI TU YANGA

KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Koha Mkuu, Nasreddine Nabi kimeweza kuweka rekodi matata ya kucheza mechi 8 ambazo ni dakika 720 bila kupoteza huku kikifunga jumla ya mabao 13 na kufungwa mabao mawili. Nyota wake wawili wote kibindoni wametupia mabao matatumatatu kwenye mechi walizocheza ambao ni Feisal Salum na Jesus Moloko huku baba lao akiwa…

Read More

KOCHA MPYA SIMBA AANZA KAZI RASMI LEO

LEO Novemba 16, Kocha Mpya wa Viungo wa Klabu ya Simba, Don Daniel De Castro ameanza kazi ya kuwanoa wachezaji wa timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco. Kocha huyo wa viungo amechukua mikoba ya Adel Zraine raia wa Tunisia ambaye alisitishiwa mkataba wake Desemba 26. Jana, Novemba 15 alitambulishwa rasmi kwa mashabiki na…

Read More

SIMULIZI YA MREMBO ALIYESHINDA MATAJI MENGI

SIMULIZI ya mrembo ambaye arirejesha urembo wake baada ya ngozi yake kupata matatizo Jina langu ni Anyango kutoka katika kauti ya Kisumu. Ama kwa hakika nilikuwa mtu ambaye nilikuwa nathamini kwa hali yoyote urembo wangu. Nilikuwa mwanamitindo ambaye nilienda katika mashindano katika ukanda huu wa Afrika Mashariki kila mara. Sikutaka kuwa na kitu chochote kilichikuwa…

Read More

YANGA YAACHANA NA KIUNGO MAZIMA

YANGA imeachana na aliyekuwa nyota mpya ndani ya klabu hiyo ambaye alikuwa akisubiri dirisha dogo la usajili kwa ajili ya kusaini mkataba mpya ambaye ni raia wa Ghana, Geofrey Nyarko. Nyota huyo alijiunga na Yanga baada ya kufungwa kwa dirisha kubwa la usajili akiwa mchezaji huru kwa ajili ya kufanya majaribio ndani ya kikosi hicho….

Read More

FEI TOTO:NAPENDA KUONA TIMU INASHINDA

FEISAL Salum, kiungo wa Yanga amebainisha kuwa jambo ambalo analipenda akiwa uwanjani ni kuona timu yake inashinda. Fei ni namba moja kwa utupiaji ndani ya kikosi cha Yanga akiwa ametupia mabao matatu na pasi moja kati ya tisa ambayo yamefungwa na timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Katika mechi tano ametumia jumla ya…

Read More

SAIDO V MAKAMBO KWENYE VITA MPYA YANGA

UONGOZI wa Yanga baada ya kutangaza kuwa utamkosa mshambuliaji wake Yacouba Songne kwa zaidi ya miezi minne kutokana na majeraha aliyoyapata, mchezaji huyo ni kama ameacha vita ya namba kwa washambuliaji Saido Ntibazonkiza na Heritier Makambo kwa ajili ya kuchuana kuchukua nafasi ya mshambuliaji huyo. Songne aliumia katika mchezo uliopita wa ligi kuu dhidi ya…

Read More

KOCHA SIMBA AWAAMBIA WASAJILI KIUNGO

ALIYEKUWA Kocha wa Viungo wa Simba, Mtunisia, Adel Zrane, amefunguka kuwa anaamini kama Simba inahitaji kutetea ubingwa wake msimu huu, basi ni lazima wahakikishe wanavunja benki kwenye dirisha dogo la usajili na kuongeza angalau kiungo mchezeshaji mmoja mwenye uwezo mkubwa.   Zrane, aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomes na aliyekuwa kocha wa makipa, Milton Nienov Oktoba 26, mwaka huu…

Read More

POLISI TANZANIA WAPO KAMILI KWA USHINDANI

KOCHA Mkuu wa Polisi Tanzania, Malale Hamsini ameweka wazi kwamba malengo ya timu hiyo ni kufanya vizuri ndani ya Ligi Kuu Bara ili kuweza kuwa ndani ya tano bora kwa msimu wa Kocha huyo mwenye tuzo ya kocha bora wa mwezi Septemba baada ya kuanza ligi kwa mwendo wa kasi bado timu hiyo ambayo kipa…

Read More

NYOTA HAWA WATAJWA KUINGIA ANGA ZA POLISI TANZANIA

KUMEIBUKA taarifa kuwa Polisi Tanzania wapo kwenye mpango wa kuwasajili viungo wawili wa Azam FC, Mudathir Yahya na Salum Aboubakar ‘Sure Boy’ ambao wamesimamishwa.   Taarifa hizo zinadai kuwa, Polisi Tanzania wanawataka nyota hao ili kuimarisha kikosi chao na kujiweka katika mazingira mazuri ya kuwania nafasi tatu za juu kwenye msimamo wa ligi mwisho wa msimu.   Chanzo hicho kililiambia Spoti Xtra kuwa: “Upo mpango wa Azam FC kuachana na Mudathir pamoja na Sure…

Read More