Home Sports VIDEO:CHEKI MAUJUZI YA HASSAN DILUNGA,ZIMBWE NA BWALYA

VIDEO:CHEKI MAUJUZI YA HASSAN DILUNGA,ZIMBWE NA BWALYA

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba chini ya Kocha Mkuu Pablo Franco kwa sasa wanaivutia kasi Azam FC kuelekea kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Januari Mosi,2022.

Miongoni mwa wachezaji ambao waliweza kuonyesha maujuzi yao Uwanja wa Bunju Complex kuelekea mchezo huo ni pamoja na Mohamed Hussein Zimbwe, Hassan Dilunga, Mzamiru Yassin, Air Manula.

Previous articleTORRES NI MALI YA BARCELONA
Next articleKIPA SIMBA ATAJWA KUIBUKIA MTIBWA SUGAR