MASAU BWIRE AIBUKA ABAMBIKIWA ISHU YA USHINDI WA SIMBA KIMATAIFA
BAADA ya Simba jana Novemba 28 kushinda mabao 3-0 dhidi ya Red Arrows huku nyota wa mchezo akiwa ni Bernard Morrison kuna ujumbe kutoka twiter ulisambaa kwa kasi kubwa. Ujumbe huo ulionekana kuandikwa kwa jina la Masau Bwire ambaye ni Ofisa Habari wa Ruvu Shooting ambapo alionekana kuwapa pongezi Simba kwa ushindi huku akimpongeza mchezaji…