SOPU APEWA TUZO, KUIKOSA KAGERA SUGAR LEO
KIUNGO Abdul Suleiman ambaye ni ingizo jipya ndani ya Azam FC, alipewa zawadi ya kuku na shabiki wa Azam FC hivi karibuni, leo Agosti 17 atakosekana kwenye mchezo dhidi ya Kagera Sugar kwa kuwa alipata maumivu kwenye mazoezi. Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Azam FC, Zakaria Thabit amesema kuwa mchezaji huyo alipata maumivu baada…