NAMUNGO YASHINDA MBELE YA IHEFU, LUSAJO KAMA KAWA
MCHEZO pekee wa Ligi Kuu Bara ambao umechezwa leo Agosti 19,2022 Uwanja wa Uhuru dakika 90 ubao umeseoma Ihefu 0-1 Namungo FC. Huu unakuwa mchezo wa pili mfululizo kwa timu ya Ihefu inayonolewa na Kocha Mkuu, Zuber Katwila kupoteza pointi tatu ikiwa nyumbani. Ikumbukwe kwamba mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Highland Estate, Ihefu ilifungwa…