Wednesday, May 15, 2024
Home Authors Posts by Saleh

Saleh

7842 POSTS 0 COMMENTS

AZAM FC YAZITAKA POINTI TATU ZA GEITA GOLD

0
VIVIER Bahati,  Kocha Msaidizi wa Azam FC amesema kuwa mchezo wao dhidi ya Yanga matokeo wamesahahu hivyo hesabu zao ni kupata ushindi mbele ya...

MRITHI WA MIKOBA YA GOMES SIMBA HUYU HAPA

0
IMEELEZWA kuwa Rhulani Mokwena ni moja ya makocha ambao wanapewa chapuo la kuibuka ndani ya kikosi cha Simba.   Kocha huyo ambaye anaifundisha Mamelodi Sundowns anaweza...

CONTE KUSAINI DILI JIPYA LEO TOTTENHAM

0
ANTONIO Conte anatarajiwa kusaini dili jipya leo Jumanne ili kuweza kuwa Kocha Mkuu wa Tottenham. Conte anakwenda kuchukua mikoba ya Nuno Espirito ambaye alichimbishwa mazima...

LWANDAMINA BADO YUPOYUPO SANA AZAM

0
LICHA ya kuwa na matokeo mabaya msimu huu Kocha Mkuu wa Azam FC, George Lwandamina ameongezewa mkataba wa mwaka mmoja wa kuzidi kukinoa kikosi...

NYOTA WATATU NDO IMEISHA HIVYO AZAM FC

0
IMEFAHAMIKA kuwa Azam FC huenda ikaachana na wachezaji wake watatu Suire Boy, Aggrey Morris na Mudathiri Yahaya katika usajili wa dirisha dogo msimu huu.   Taarifa...

MASTAA YANGA WAOGA MINOTI,ISHU YA MGOMO IPO HIVI

0
 BAADA ya Alhamisi ya Oktoba 28 kusambaa kwa taarifa kwamba mastaa wa Yanga wamepanga kufanya mgomo kushinikiza malipo yao ya bonasi, hatimaye mambo yamewekwa sawana sasa...

RATIBA YA LIGI KUU BARA LEO

0
NOVEMBA 2,2021 Ligi Kuu Tanzania Bara inazidi kushika kasi ambapo ushindani umekuwa mkubwa tofauti na msimu uliopita. Leo viwanja viwili vitakuwa na burudani tosha kwa...

UEFA, EUROPA NA CONFERENCE LEAGUE KUENDELEA WIKI HII

0
  Baada ya mzunguko wa kwanza kwenye hatua za makundi, mashindano ya Ulaya kuendelea wiki hii. Ungwe ya pili hatua ya makundi kurindima viwanjani. Nani...

MABOSI SIMBA WAVAMIA….GSM YAFANYA KUFURU, NI SPOTI XTRA

0
GSM yafanya kufuru Yanga,mastaa wote wanunuliwa magari,mabosi Simba wavamia vyumba vya wachezaji ndani ya Spoti Xtra Jumanne.

ORODHA YA WANAOWANIA TUZO ZA SIMBA

0
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara leo Novemba Mosi,2021 wameachia orodha ya wachezaji wao ambao wanawania tuzo ya mchezaji bora. Ni Mchezaji Bora wa...

RUVU SHOOTING:TUNA ASILIMIA NYINGI KUSHINDA MBELE YA YANGA

0
AMBROSE Morris, nahodha wa Ruvu Shooting ameweka wazi kuwa wana asilimia nyingi za kushinda mchezo wa kesho dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa...

HAJI MANARA AWAIBUA WAZAWA WA KAZI CHAFU

0
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa wapo wazawa wengi ambao wanafanya vizuri ndani ya kikosi cha Yanga ikiwa ni pamoja na Dickson...

ORODHA YA WACHEZAJI WA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA

0
KIM Poulssen Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars leo Novemba Mosi ametangaza kikosi cha timu ya taifa ambacho kitakuwa ni...

KUMBE ILIKUWA NI GHAFLA TU KUMFUTA KAZI NUNO

0
IMERIPOTIWA kuwa ilikuwa ni ghafla kwa mabosi wa Klabu ya Tootenham kumfuta kazi kocha wao Nuno Espirito ambaye ametangazwa kuwa kwa sasa hatakuwa kwenye...

BRENDAN HAFIKIRII KUIFUNDISHA MANCHESTER UNITED

0
BOSI wa Leicester City, Brendan Rodgers amesisitiza kuwa hafikirii kwenda kuifundisha Manchester United. Rodgers amesisitiza kuwa malengo yake ni kuweza kuona timu yake ya sasa...

SPORTPESA NGUZO YA MWENDO WA WAKONGWE YANGA

0
  NDANI ya miaka minne tu, kampuni maarufu zaidi nchini ya michezo ya kubahatisha ya SportPesa ndio inayoshikilia rekodi ya kuwa kampuni iliyoweka fedha nyingi...

LIVERPOOL YAMPA KOCHA WAKE HASIRA

0
KOCHA Mkuu wa Liverpool, Jurgen Klopp amegeuka mbogo kwa wachezaji wake kwa kuwaeleza kuwa walicheza chini ya kiwango kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu...