Sunday, May 5, 2024
Home Authors Posts by Saleh

Saleh

7764 POSTS 0 COMMENTS

POGBA KUVUTA MKWANJA MREFU UNITED

0
IMEFICHUKA kuwa Paul Pogba ataondoka na bonasi ya pauni milioni 3.78 (Sh bilioni 11) atakapoachana na Manchester United mara baada ya mkataba wake kufikia...

MIPANGO MIKUBWA YA USAJILI YANGA NI KIMATAIFA

0
 UONGOZI wa Klabu ya Yanga, umeweka wazi kuwa msimu ujao malengo yao ni kufanya vizuri kwenye michuano ya ndani na ile ya kimataifa wanayotarajia...

NAMNA YA KUCHEZA, NA KUSHINDA KENO MERIDIANBET!

0
Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inakusogezea bahati nasibu kupitia mchezo wa Keno. Huu ni mchezo wa namba ambao mchezaji anachagua namba 10 kutoka kwenye...

VIJANA REAL MARDRID WAFICHUA SIRI ZA UBINGWA

0
REAL Madrid ni mabingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, Ligi Kuu ya Hispania (La Liga) na Supercup ya Hispania msimu huu wa 2021/22, na...

STARS YAREJEA KUANZA KUIPIGIA HESABU ALGERIA

0
BAADA ya kupata pointi moja ugenini Jana Juni 4,2022 leo Timu ya Taifa ya Tanzania,Taifa Stars, imewasili Dar kupitia Uwanja wa Ndege wa Julius...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI

0
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumapili

SIMBA:TUTASAJILI WACHEZAJI WENYE NJAA YA MAFANIKIO

0
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi Simba,Salim Abdallah amesema kuwa msimu ujao watafanya usajili mkubwa kwa kuleta wachezaji wenye njaa ya mafanikio. Kwa sasa Simba ipo...

ANTONIO RUDIGER ASANI MIAKA MINNE REAL MADRID

0
REAL Madrid imempa dili la miaka minne beki wa kazi akitokea Klabu ya Chelsea ambayo alikuwa akiitumikia. Ni Antonio Rudiger amejiunga bure na Mabingwa wa...

JUVENTUS YAMVUTIA KASI POGBA

0
KIUNGO mshambuliaji wa Manchester UnitedPaul Pogba inatajwa kwamba anaweza kujiunga na Juventus ambayo imemuwekea mkwanja mrefu kupata saini yake. Nyota huyo mkataba wake unatarajiwa kumeguka...

SIMBA YABAINISHA SABABU ZA KUMCHIMBISHA PABLO

0
MABOSI Simba  wameweka wazi kwamba kushindwa kutimiza yale aliyosaini kwenye mkataba ni sababu iliyofanya kufutwa kazi kwa Pablo Franco aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba. Mei...

KAMBOLE AINGIA ANGA ZA YANGA

0
 IMEELEZWA kuwa Lazarous Kambole anayekipiga ndani ya Klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini yupo kwenye hesabu za  mabosi wa Yanga. Huyo ni mshambuliaji wa...

SHIME:CAMEROON WAGUMU,LAKINI TUTASHINDA

0
 BAKARI Shime, Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa za Wanawake Tanzania,amesema kuwa mchezo wa marudiano baina yao dhidi ya Timu ya Taifa ya Wasichana...

MWENDO WA BIASHARA UNITED NA MBEYA KWANZA UNA JAMBO LAO

0
KAZI haiwezi kuwa nyepesi kwa kuwa lazima mapambano yawe makubwa katika kufanya hilo jambo ambalo unalihitaji kwa wakati. Kila mmoja kwenye Ligi Kuu Bara kwa...

TAIFA STARS KUVAA NIGER LEO

0
KIM Poulsen, Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo wa kuwania kufuzu AFCON...

KUNA WINGA YANGA ALITISHIWA KUROGWA

0
MJUE winga ambaye alitishiwa kurogwa ndani ya Yanga kisa Simba, yote haya ni ndani ya Championi Jumamosi.

MKALI WA PASI NDANI YA SIMBA KUTIMKIA AFRIKA KUSINI

0
IMEELEZWA kuwa kiungo namba moja kwa kutengeneza pasi za mwisho ndani ya Simba msimu wa 2021/22 Rally Bwalya yupo kwenye hesabu za timu moja...

LEBRON JAMES AWA MCHEZAJI WA KWANZA BILIONEA AKICHEZA LIGI YA NBA

0
LeBron James– Nyota mara 18 wa mpira wa vikapu nchini Marekani NBA na bingwa mara 4 wa NBA, mbali na kuwa mshindi wa medali...