Thursday, April 25, 2024
Home Authors Posts by Saleh

Saleh

7689 POSTS 0 COMMENTS

YANGA YAMPONZA PABLO SIMBA

0
 PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba anatajwa kuwa kwenye hesabu za kufutwa kazi kutokana na mwendo wa kusuasua wa timu hiyo. Habari zinaeleza kuwa kauli...

KLOPP ANAAMINI WATAREJEA WAKIWA BORA MSIMU UJAO

0
JURGEN Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool amesema kuwa timu hiyo itarejea kwa kishindo kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao na kuweza kutwaa taji...

BAO LA FEI KWA SIMBA THAMANI YA BILIONI

0
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga amesesema kuwa bao alilofuga Feisal Salum mbele ya Simba ni la viwango vikubwa na thamani yake ni bilioni. Feisal...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU

0
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatatu

COASTAL UNION YATINGA HATUA YA FAINALI,KOMBE LA SHIRIKISHO

0
 COASTAL Union ya Tanga leo Mei 29 imekata tiketi ya kutinga hatua ya fainali Kombe la Shirikisho kwa ushindi mbele ya Azam FC. Ilikuwa dakika...

COASTAL UNION 0-0 AZAM FC

0
COASTAL Union 0-0 Azam FC, mshindi atapatikana kwa mikwaju ya penalti Uwanja wa Sheikh Amri Aeid Karume,Arusha. Dakika 120 zimekamilika bila timu hizi kufungana. Hivyo mshindi...

MINZIRO ANATAKA KUMALIZA TANO BORA

0
FELIX Minziro, Kocha Mkuu wa Geita Gold amesema kuwa wanahitaji kumaliza ligi ndani ya tano bora hivyo wataendelea kupambana kufanikisha malengo yao. Mchezo uliopita ubao...

YANGA YATUPA DONGO KIMTINDO SIMBA

0
 HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga amewapiga dongo kiaina wapinzani wao Simba kwa kubainisha kwamba mashabiki wa timu iliyoshinda wanapaswa kuamka mapema wengine saa...

AZAM FC YAWAITA MASHABIKI ARUSHA

0
 ZAKARIA Thabit, Ofisa Habari wa Azam FC amesema kuwa kwa sasa mashabiki wa Azam FC wana kazi moja tu kujitokeza kwa wingi Uwanja wa...

COASTAL UNION:AZAM FC WANA GARI ZURI,TIMU ZURI

0
WAKATI leo Mei 29 Coastal Union ikitarajiwa kutupa kete yake mbele ya Azam FC kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali, Kombe la Shirikisho,...

UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI

0
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumapili

REAL MADRID MABINGWA LIGI YA MABINGWA ULAYA

0
REAL Madrid wametwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa kuitungua bao 1-0 Liverpool kwenye mchezo wa hatua ya fainali iliyochezwa Uwanja wa de...

YANGA YATINGA FAINALI KWA KUITUNGUA SIMBA

0
KIKOSI cha Simba kimepoteza mchezo wa hatua ya nusu fainali mbele ya Yanga kwa kufungwa bao 1-0 uliochezwa Uwanja wa CCM Kirumba. Pablo Franco ameongoza...

HT:YANGA 1-0 SIMBA, NUSU FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO

0
UWANJA wa CCM Kirumba, dk 45 za kipindi cha kwanza kwa watani wa jadi kutoana jasho zimekamilika na ubao unasoma Yanga 1-0 Simba. Dakika 15...

BENO KUANZA,KIKOSI CHA SIMBA V YANGA

0
KIKOSI cha Simba ambacho kitaanza dhidi ya Yanga, Uwanja wa CCM Kirumba kipo namna hii:- Beno Kakolanya Jimmysone Mwanuke Zimbwe Joash Onyango Henock Inonga Taddeo Lwanga Pape Sakho Sadio Kanoute Chris Mugalu Mzamiru Kibu Dennis Akiba Manula Ally Gadiel Kennedy Nyoni Bwalya Kagere Mhilu

KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA DHIDI YA SIMBA

0
KETE ya Yanga dhidi ya Simba, Uwanja wa CCM Kirumba hatua ya nusu fainali ipo namna hii:-  Djigui Djuma Kibwana Mwamnyeto Job Bangala Aucho Sure Boy Feisal Mayele Makambo

KILA LA KHERI KWENYE NUSU FAINALI,UMAKINI UNAHITAJIKA

0
LEO ni nusu fainali ya Kombe la Shirikisho ambapo watani wa jadi Yanga na Simba wanatarajiwa kumenyana kwenye mchezo unaosubiriwa kwa shauku kubwa. Hamna namna...