Saturday, May 18, 2024
Home Authors Posts by Saleh

Saleh

7873 POSTS 0 COMMENTS

FARID MUSSA AONGEZA DILI JIPYA YANGA

0
FARID Mussa kiungo wa kazi ndani ya kikosi cha Yanga ameweza kuongeza kandarasi mpya kuendelea kuitumikia timu hiyo. Leo Juni 13,2022 Yanga wameachia picha ya...

SIMBA YAPATA TUZO,YAWAPOTEZA YANGA

0
LEO Juni13,2022 Klabu ya Simba imeweza kupewa tuzo yake baada ya kuwapoteza wapinzani wao wa jadi Yanga kwenye mchakato wa kura. Ni Tuzo ya Klabu Bora...

YANGA KUMENYANA NA COASTAL UNION USIKU

0
 MCHEZO wa Yanga v Coastal Union unatarajiwa kuchezwa kesho, Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa timu zote mbili kuweza kuingia uwanjani kusaka pointi tatu. Ikiwa Yanga inayonolewa...

RATIBA YA LIGI KUU BARA BONGO LEO

0
 LEO Juni 13 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea baada ya mapumziko kwa ajili ya mechi za kuwania kufuzu Afcon 2023 zinazotarajiwa kufanyika nchini Ivory...

GLOBAL FC YATOSHANA NGUVU NA BONGO MOVIES

0
TIMU ghali Bongo ya Global FC inayomilikiwa na Kampuni ya Global Group iliweza kuonyesha ubabe wake mbele ya timu ya Bongo Movie kwenye mchezo...

MCHONGO MZIMA WA AZIZ KI UMECHORWA NAMNA HII

0
SAKATA la usajili wa kiungo mshambuliaji raia wa Burkina Faso, Stephen Aziz Ki, limezidi kuteka hisia za wapenda soka wengi hapa nchini, baada ya...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE CHAMPIONI JUMATATU

0
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatatu

TEN HAG NA MTEGO WA USAJILI MAN U

0
DIRISHA la usajili limefunguliwa rasmi tangu, Juni 10, mwaka huu na litafungwa Septemba Mosi mwaka huu ikiwa ni wakati muhimu hasa kwetu kama Manchester...

DARWIN NUNEZ NI SUALA LA MUDA TU, KARIBU ANFIELD TORRES MPYA

0
MPAKA sasa majina ambayo yanatajwa huenda wanahusika kusajiliwa ndani ya Liverpool ni Darwin Nunez, Christopher Nkunku, Jude Bellingham, Pablo Gavi, Cristopher Ramsey na wengine...

YANGA YADAIWA KUMSAJILI KAMBOLE WA KEIZER CHIEF

0
Klabu Yanga imeripotiwa kushinda mbio za kuinasa saini ya mshambuliaji wa Keizer Chiefs Lazarous Kambole (28) kwa mkataba wa miezi 6 wenye chaguo la...

ARTETA AHOFIA KUMKOSA JESUS… HABARI MBAYA KWA MASHABIKI WA ARSENAL

0
LONDON, England BOSI wa Arsenal, Mikel Arteta, amekasirishwa na kitendo cha klabu hiyo kuonekana kusuasua katika maamuzi ya usajili, huku akiwa na hofu huenda akamkosa...

MASTAA HAWA 11 WANASEPA NDANI YA MANCHESTER UNITED

0
KLABU ya Manchester United, imethibitisha kuondoka kwa nyota wake 11, kati ya hao yupo Paul Pogba na Jesse Lingard. Wachezaji hao wanaondoka kwa sababu tofauti...

KOCHA KAIZER CHIEFS AMALIZANA NA SIMBA

0
BAADA ya kufanya mazungumzo mazito na mabosi wa Simba SC, inaelezwa kwamba kocha wa zamani wa Kaizer Chiefs, Stuart Baxter, wamefikia makubaliano mazuri, lakini...

MSOLLA OUT YANGA, ENG HERSI ABAKI PEKE YAKE URAIS YANGA …MAJINA...

0
MCHAKATO wa uchaguzi ndani ya Klabu ya Yanga, umezidi kushika kasi ambapo jana Jumamosi orodha ya majina ya wagombea yaliwekwa wazi kwa waliopitishwa na...

ARTETA HOFU TUPU KISA JESUS

0
 KOCHA Mkuu wa Arsenal, Mikel Arteta hajapenda kuona timu hiyo ikienda kwa kasi ya taratibu kuwania kuinasa saini ya Gabriel Jesus. Arteta ana hofu huenda...

HUYU HAPA ANATAJWA KUWA KOCHA MPYA SIMBA

0
INAELEZWA kuwa mabosi wa Simba wapo kwenye mazungumzo na Stuart Baxter aliyekuwa Kocha Mkuu wa Kaizer Chiefs  Kabla ya kufungashiwa virago vyake huko ili aweze kubeba...