Home Sports RATIBA YA LIGI KUU BARA BONGO LEO

RATIBA YA LIGI KUU BARA BONGO LEO

 LEO Juni 13 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea baada ya mapumziko kwa ajili ya mechi za kuwania kufuzu Afcon 2023 zinazotarajiwa kufanyika nchini Ivory Coast.

Ni mechi mbili zinatarajiwa kuchezwa leo ikiwa ni mzunguko wa pili na wa kufungia hesabu kwa msimu wa 2021/22.

Mtibwa Sugar itawakaribisha Ruvu Shooting itakuwa ni Uwanja wa Manungu.

Mchezo mwingine itakuwa ni Geita Gold v Dodoma Jiji huu unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Nyankumbu.

Imeandikwa na Dizo Click.

Previous articleGLOBAL FC YATOSHANA NGUVU NA BONGO MOVIES
Next articleYANGA KUMENYANA NA COASTAL UNION USIKU