Saturday, April 27, 2024
Home Authors Posts by Saleh

Saleh

7711 POSTS 0 COMMENTS

CHAMA CHA WATU WENYE UALBINO- TAS WAPATA MSAADA WA VIFAA

0
Katibu Mkuu Chama cha Watu Wenye Ualbino Mkoa wa Dar Es Salaam Gaston Mcheka ametoa shukrani baada ya kupokea vifaa vya kuwasaidia katika shughuli...

SIMBA YAPIGA KIFURUSHI, MANULA KATUNGULIWA

0
KIKOSI cha Simba kimeibuka na ushindi wa mabao 7-1 Prisons katika mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Ni mabao ya ya nahodha John Bocco...

YANGA KAMILI KUIVAA MTIBWA SUGAR

0
KUELEKEA mchezo wa kesho kati ya Mtibwa Sugar v Yanga benchi la ufundi la vinara wa ligi limeweka wazi kuwa lipo tayari. Yanga imekuwa na...

SIMBA 1-1 PRISONS

0
UBAO wa Uwanja wa Mkapa dakika 45 zimekamilika ukisoma Simba 1-1 Tanzania Prisons. Uzembe wa kipa namba moja wa Simba, Air Manula kwenye kuokoa mpira...

HIKI HAPA KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA PRISONS, NTIBANZOKIZA NDANI

0
KIKOSI cha Simba dhidi ya Tanzania Prisons leo Desemba 30,2022 Uwanja wa Mkapa Aishi Manula Shomari Kapombe Mohamed Hussein Joash Onyango Henock Inonga Sadio Kanoute Clatous Chama Mzamiru Yassin John Bocco Ntibanzokiza Sakho

MZEE WA KUCHETUA NA ZANZIBAR FINEST KUIKOSA MTIBWA SUGAR

0
KUELEKEA mchezo wa funga mwaka kwa Yanga dhidi ya Mtibwa Sugar kiungo Bernard Morrison mzee wa kuchetua hatakuwa sehemu ya mchezo huo. Utakuwa mchezo wa...

VIDEO: HIZI HAPA SABABU ZA YANGA KUWATAKA WACHEZAJI WA AZAM FC

0
HIZI hapa sababu za Yanga kuwataka wachezaji wa Azam FC

VIDEO:JEMBE AUCHAMBUA MKATABA WA FEISAL YANGA

0
JEMBE auchambua mkataba wa Feisal Yanga

10BET YAGAWA ZAWADI KWA WASHINDI PROMOSHENI KOMBE LA DUNIA

0
KAMPUNI ya michezo ya kubahatisha ya 10bet imetangaza kuwazawadia washindi mbalimbali 50 wa promosheni ya kombe la dunia (WC Bonanza Promotion). Michuano ya kombe la...

AZAM FC YAKATA TAMAA ISHU YA UBINGWA

0
KAIMU Kocha Mkuu wa Azam FC, Kali Ongala amesema kuwa kushindwa kupata matokeo chanya kwenye mechi tatu kunawaondoa kwenye mbio za ubingwa. Matajiri hao wa...

MILIONI 30 MEZANI MNYAMA ATUNGULIWE KWA MKAPA

0
KLABU ya Tanzania Prisons imewekewa kitita cha Tsh Milioni 30 na wadhamini wao Kampuni ya Silent Ocean endapo itaifunga Simba. Prisons inatarajiwa kumenyana na Simba...

VITA YA MATAJIRI, KAMA NOMA NA IWE, FEI AWACHENGA YANGA SC...

0
VITA ya Matajiri, kama noma na iwe, Fei awachenga Yanga SC aibukia jeshini, Kocha Mbrazil aaga Vipers, mlangoni Simba ndani ya Championi Ijumaa

PUMZIKA KWA AMANI LEGEND PELE

0
GWIJI wa soka wa Brazil Pele, mmoja wa wachezaji bora zaidi wa wakati wote, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 82. Mshambulizi huyo wa...

LIGI IMECHANGANYA, MECHI KALI ZA FUNGA MWAKA 2022 ZENYE ODDS KUBWA...

0
Ligi nyingi zimerejea na mzuka wa kutosha mtu wangu, ni EPL, La Liga na Ligue 1 huku zikisindikizwa na michezo mingi ya kirafiki yenye...

SIMBA WANAHITAJI USHINDI KWENYE MECHI ZAO

0
JOHN Bocco nahodha wa Simba ameweka wazi kuwa malengo makubwa ya timu hiyo ni kupata matokeo kwenye mechi zote wanazocheza. Mchezo ujao wa Simba ni...

MIDO AS VITA AFUNGUKA KUTUA YANGA

0
KIUNGO wa kimataifa wa Togo anayekipiga katika Klabu ya AS Vita, Marouf Tshekai ni kama amekubali kujiunga na klabu ya Yanga mara baada ya...

KAKOLANYA ATAJWA AZAM FC

0
IMEFAHAMIKA kuwa, Azam FC, imeanza mazungumzo ya kimyakimya kwa ajili ya kuipata saini ya kipa namba mbili wa Simba, Beno Kakolanya. Kakolanya hivi sasa amekuwa...