Thursday, May 9, 2024
Home Authors Posts by Saleh

Saleh

7809 POSTS 0 COMMENTS

ALIYEKUWA KWENYE HESABU ZA SIMBA HUYO KWA WAKULIMA

0
DILI la kijana Kelvin Nashon kutua ndani ya mitaa ya Kariakoo limegonga mwamba na sasa atakuwa kwa wakulima wa alizeti. Nashon ambaye ni kiungo alikuwa...

KUBETI NA KITOCHI: BETI BILA BANDO MERIDIANBET-USSD PIGA *149*10# BURE!

0
Ushindi unaendelea ukibeti na Meridianbet USSD Piga *149*10# BURE kutengeneza mkeka wako usipokuwa na Intaneti mahali popote Tanzania. Nafasi nyingine ya kuendelea kufurahia odds...

JEMBE JIPYA AZAM FC HILI HAPA LATAMBULISHWA

0
RASMI Azam FC imemtambulisha nyota mpya katikakikosi hicho ambaye ni kipa. Taarifa ya matajiri hao wa Dar imeeleza kuwa wameinasa saini ya nyota huyo kutoka...

VIDEO:MZARAMO YANGA MANDUNDUKA WALITUCHEKA/TAMBO ZAO ZIMEISHA

0
MZARAMO Yanga Mandunduka walitucheka/Tambo zao zimeisha

YANGA YAMTEMBELEA MAMA KARUME

0
UONGOZI wa Yanga chini ya rais wa klabu hiyo, Injinia Hersi Said, benchi la ufundi, wachezaji pamoja na wajumbe wa Bodi ya Wadhamini, mapema...

SIMBA YASHUSHA STRAIKA WA KAZI

0
ZIKIWA zimebaki siku saba tu kabla ya kufungwa kwa dirisha dogo la usajili Januari 15, 2023, uongozi wa Simba umewashusha presha mashabiki wa timu...

USAJILI WA YANGA KUITIKISA NCHI, ALLY KAMWE ATAMBA

0
OFISA Habari wa Yanga, Ally Kamwe, amefunguka kwamba, kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa Januari 15, mwaka huu, watatikisa nchi kwa usajili mkubwa...

SIMBA KAMBI YA KISHUA DUBAI,AKPAN NA OKWA WAACHWA

0
KIKOSI cha Simba, jana Jumamosi kiliondoka nchini kishua kwenda Dubai kwa ajili ya kambi ya wiki moja kujiandaa na mashindano ya Ligi Kuu Bara,...

LIVERPOOL WAPATA SARE KWA MSAADA WA VAR

0
KIKOSI cha Liverpool licha ya kupata sare bao kina kazi kwenye mchezo wa marudiano wa Kombe la FA dhidi ya Wolves. Kwenye mchezo wao uliochezwa...

HAWA HAPA MAKIPA WALIOTESWA NA AZIZ KI

0
KUISHI ni mapenzi ya Mungu na kwa kila jambo anastahili shukrani, katika hili la 2023 tunasema asante. Aziz KI 2022 kawatesa makipa kutokana na mapigo yake huru...

SIMBA NDANI YA DUBAI KAMILI KWA KAMBI

0
KIKOSI cha Simba kimewasili salama Dubai ambapo kitakuwa huko kwa ajili ya kambi ya muda wa siku saba. Ni Jnuari 7,2023 msafara wa kikosi hicho...

SIKU HIZI UKIJISAJILI MERIDIANBET UKAWEKA PESA UNASHINDA BONASI KUBWA.

0
Ofa za Meridianbet zinaendelea kutaradadi katika kila kona, ofa baada ya ofa, promosheni baada ya promosheni katika mwezi wenye mambo mengi. Nafasi yako ya...

ISHU YA FEISAL NA YANGA IMEFIKIA HAPA

0
KAMATI ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeamua kuwa Feisal Salum bado ni mchezaji wa Yanga...

SIMBA YAKWEA PIPA, BANDA,NTIBANZOKIZA NDANI

0
NYOTA wa Simba Peter Banda tayari amerejea kwenye ubora wake akiwa ni miongoni mwa mastaa waliokwea pipa kuelekea Dubai. Kikosi hicho kimepata mualiko maalumu kutoka...

YANGA WAFANYA HAFLA NA MATAJI YAO,WAREJEA DAR

0
UONGOZI wa Yanga chini ya Rais Eng Hersi Said, Benchi la ufundi na wachezaji leo Januari 7 2023 wamemtembelea Mama Fatma Karume pamoja na...

SIMBA KUKWEA PIPA KUIBUKIA DUBAI

0
BAADA ya kuvuliwa ubingwa wa Kombe la Mapinduzi na kurejea Dar kikosi cha Simba kinatarajia kukwea pipa leo Januari 7,2022 kuelekea Dubai. Kikosi hicho kwenye...