
STARS KAZINI LEO, SARE TU AFCON HII HAPA
TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa kuwania kufuzu AFCON dhidi ya Algeria. Katika mchezo huu wa leo kuwania kufuzu michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrka, (AFCON 2023). Stars inahitaji sare ikiwa kundi G inashika nafasi ya pili baada ya kucheza mechi tano na kukusanya pointi…