>

TUZO YA AZAM SPORTS FEDERATION SIMBA HAWAJAPENYA

KAMATI ya Tuzo ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzaniam (TFF) imefanya uteuzi wa washiriki katika makundi mbalimbali ya Tuzo hizo. Ni makundi matano ambayo ni Tuzo ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports Federation Tuzo za Ligi Kuu ya Wanawake Tuzo za Ligi Kuu Bara Tuzo za Utawala Tuzo za Ligi nyingine Hizi ni…

Read More

SINGIDA BIG STARS YAIPIGIA HESABU YANGA

UONGOZI wa Singida Big Stars umeweka wazi kuwa upo tayari kwa mchezo wa hatua ya nusu fainali Azam Sports Federation dhidi ya Yanga. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Lite, Mei 21 na mshindi wa mchezo huo atatinga hatua ya fainali. Ni Azam FC itakuwa inawatazama wababe hawa wawili kujua nani atacheza naye hatua ya…

Read More

DARASA LA YANGA KIMATAIFA NI KWA WOTE

KASI ya Yanga kwenye mashindano ya kimataifa ni darasa huru kwa kila mmoja apate kujifunza namna ya kutumia bahati na nafasi inayotokea. Hakuna timu ambayo haipendi kupiga hatua kila siku na kuandika rekodi mpya na nzuri hilo lipo wazi hivyo kwa sasa mfano bora wa kuzungumzia kwenye kizazi cha sasa ni Yanga. Mfumo ambao wameutumia…

Read More

RUVU SHOOTING TUTAONANA BAADAYE, KUNA KUSHUKA DARAJA

NI rasmi timu ya Ruvu Shooting imeshuka daraja na haitakuwa sehemu ya timu za Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2023/24 huku timu za Polisi Tanzania, Mtibwa Sugar na KMC zikipambania hatma yao kwenye michezo miwili waliyobakisha kumaliza ligi. Kwa misimu ya hivi karibuni Ligi Kuu Bara imekua na ushindani mkubwa ambapo uwekezaji mkubwa uliofanywa…

Read More

POLISI TANZANIA YAGOMEA KUSHUKA DARAJA

KOCHA msaidizi wa Polisi Tanzania, John Tamba amesema kuwa wanatambua ushindani uliopo kwenye ligi ni mkubwa watapambana kushinda mechi zilizobaki ili kufufua matumaini ya kubaki ndani ya ligi. Vinara wa Ligi Kuu Bara ni Yanga ambao wametwaa taji hilo kwa mara ya pili mfululizo wakiwa na pointi 74 na wana mechi mbili mkononi. Polisi Tanzania…

Read More

SIMBA YAIPA NGUVU NAMUNGO

KOCHA Mkuu wa Namungo, Dennis Kitambi amesema kuwa mchezo wao dhidi ya Simba umewapa nguvu ya kufanya vizuri kwenye mechi ambazo zimebakia. Namungo ilipokutana na Simba kwenye mchezo wa ligi ilitoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1 mchezo wake dhidi ya Azam FC ilishinda mabao 2-1.  Kitambi amesema kuwa wachezaji baada ya kucheza mchezo dhidi ya Simba…

Read More

CHAMA, SAIDO MVURUGANO MTUPU SIMBA

MASTAA wawili ndani ya kikosi cha Simba, Saido Ntibanzokiza na Clatous Chama ni mvurugano mtupu kwenye kutengeneza pasi za mwisho ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2022/23. Yanga ambao ni vinara wa Ligi Kuu Bara wao mtambo wao wa mabao ni Fiston Mayele mwenye mabao 16 kibindoni.  Wakati Chama ambaye ni kinara wa kutenegenza…

Read More

SIMBA INA KAZI KUBWA KUBORESHA KILA IDARA

KWA msimu wa 2022/23 Simba imefeli kwenye kila kitu lakini wachezaji wake wamefaulu kwenye kutengeneza namba nzuri ambazo hazijawa msaada kwa Simba. Ipo wazi kuwa mchezaji mmoja anashinda mchezo na timu inashinda taji imekuwa hivyo kwa Yanga ambao wameshinda taji la Ligi Kuu Bara msimu wa 2022/23. Simba imegotea nafasi ya pili ikiwa na pointi…

Read More

AZIZ KI AFICHUA SIRI YA MABAO YAKE

AZIZ Ki kiungo mshambuliaji wa Yanga amefichua kuwa mabao yake anayofunga ni kwa ajili ya kutimiza majukumu yake ndani ya timu hiyo kwenye kila mchezo ambao atapata nafasi ya kucheza. Nyota huyo katupia mabao 9 kibindoni akiwa na pasi tano za mabao baada ya kucheza jumla ya mechi 23 ndani ya msimu wa 2022/23. Ni…

Read More

KIUNGO WA KAZI SIMBA AVUNJA REKODI YAKE

MSENEGAL Pape Sakho anayekipiga ndani ya kikosi cha Simba amevunja rekodi yake aliyoiandika yeye mwenyewe msimu wa 2021/22 kwenye suala la kutupia mabao. Nyota huyo msimu huo alitupia mabao sita kimiani baada ya kucheza jumla ya mechi 22 akitumia dakika 1,355 alitengeneza pasi tano za mabao. Ikumbukwe kwamba kinara wa utupiaji wa mabao ni Fiston…

Read More

HALLA CITY YAWAVUA UBINGWA REAL MADRID

MANCHESTER City imetinga hatua ya Fainali ya UEFA Champions League 2022/23 itamenyana na Inter Milan hatua ya fainali. Real Madrid ambao walikuwa ni mabingwa watetezi wamevuliwa taji hilo rasmi ugenini. Chini ya Pep Guardiola katika mchezo wa hatua ya nusu fainali ya pili uliochezwa Uwanja wa Etihad iliibuka na ushindi wa mabao 4-0. Ni Bernardo…

Read More

HUYU HAPA ‘MCHAWI’WA SIMBA

ROBERTO Oliveira, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa miongoni mwa sababu zilizofanya wakagotea nafasi ya pili ni kuwa na wachezaji ambao hawapo fiti muda wote. Miongoni mwa wachezaji ambao msimu wa 2022/23 ndani ya kikosi cha Simba walikuwa wanapambania hali zao ni pamoja na kiungo Peter Banda, Agustino Okra, Moses Phiri na Aishi Manula. Simba…

Read More