
SIMBA QUEENS WAIPIGA BITI YANGA PRINCES
JOTO la mechi ya Watani wa Jadi kwa upande wa soka la wanawake limezidi kutanda ambapo Yanga Princess watakuwa wenyeji wa Simba Queens katika mchezo utakaopigwa keshokutwa Jumamosi kwenye Dimba la Uhuru, Dar. Kuelekea mchezo huo wa raundi ya nne kunako Ligi Kuu ya Wanawake, Kocha Mkuu wa Simba Queens, Sebastian Nkoma ametamba kuendeleza rekodi…