
KIUNGO SIMBA AKUBALI KUSAINI YANGA
NICHOLAS Gyan kiungo wa zamani wa Klabu ya Simba ambaye kwa sasa anakipiga ndani ya kikosi cha DTB kinachoshiriki Championship amesema kuwa hana tatizo ikiwa Yanga watampa ofa yeye atasaini kwa kuwa mpira ni kazi yake. Novemba 29 Gyan aliweza kufunga bao lake la kwanza akiwa na timu yake ya DTB kwenye mchezo dhidi ya…