
POULSEN AKUBALI UWEZO WA WACHEZAJI WAKE
KIM Poulsen, Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars amesema kuwa uwezo wa wachezaji ambao wapo kwenye kikosi hicho ni mkubwa na anaamini kwamba watampa matokeo chanya kwenye mechi za kimataifa. Akizungumza na Championi Jumamosi, Poulsen alisema kuwa kila mchezaji ambaye ameuita kikosini alipata muda wa kumfuatilia na kuona uwezo wake na…