Home International XAVI KOCHA MPYA BARCELONA

XAVI KOCHA MPYA BARCELONA

XAVI Hernandez atakuja kuwa kocha mpya wa Barcelona baada ya mabosi wake Al Sadd kuthibitisha kuhusu hilo.

Taarifa rasmi ambayo imetolewa na Al Sadd imeeleza kuwa wamefikia makubaliano mazuri na Xavi kuhusu suala la malipo pamoja na kumuacha aende kwa amani kuanza changamoto mpya.

Xavi alikuwa anahusishwa kurejea kwa mara nyingine ndani ya Nou Camp hapo Barcelona tangu timu hiyo ilipomchimbisha kazi Ronald Koeman Oktoba 27

 

Previous articleYANGA WAMPA TANO NABI
Next articleBAO LA MK 14 LAMFANYA KOCHA AZUNGUMZE KIZUNGU