Home Sports WASHINDI WA BONUS WA JACKPOT YA SPORTPESA HAWA HAPA

WASHINDI WA BONUS WA JACKPOT YA SPORTPESA HAWA HAPA

ZAWADI zimeendelea kutolewa kwa washindi wa Jacpot bonus ya SportPesa wiki ambapo washindi wawili wametangazwa kusepa na mamilioni hayo baada ya kubashiri vizuri.

Ni Mjuane Ally Mkumba mkazi wa Dar pamoja na Josep Mustaoha Joseph naye pia kutoka Dar.

Mshindi wa Jackpot bonus Joseph Mustaoha Joseph  kutoka Tegeta, Dar es Salaam akishikilia mfano wa hundi ya shilingi 5,003,220 mara baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 12 kati ya 13 kwenye Jackpot ya wiki iliyopita.Jackpot ya SportPesa wiki hii ni shilingi 642,668,240.

Pia mshindi wa Jackpot bonus Mjuane Ally Mkumba kutoka Dar es Salaam amekabidhiwa mfano wa hundi ya shilingi 5,003,220 mara baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 12 kati ya 13 kwenye Jackpot ya wiki iliyopita. Jackpot ya SportPesa wiki hii ni shilingi 642,668,240.

Previous articleISHU YA MAKAMBO KUSUGUA BENCHI YAMEIBUKA HAYA
Next articleVARANE KUZIKOSA MAN CITY, CHELSEA, ARSENAL