HUKU MANCHESTER DERBY, KULE NI MILAN DERBY KUMENOGA VIWANJANI

Ni wakati wa kutengeneza faida kupitia michezo ya soka inayoendelea wikiendi hii. Hakika, hii ni wikiendi ya vita za majirani. Jiji la Manchester na jiji la Milan kutoa burudani ya wikiendi hii. Meridianbet hatukuachi nyuma, huku kwetu mpango wa wikiendi upo hivi;

 

Ijumaa tutakata utepe wa wiki ya 11 kwenye EPL kwa mtanange wa Southampton vs Aston Villa. Villa amekuwa na matokeo ya kushuka wakilinganishwa na msimu uliopita. Southampton nao wanajitafuta kwenye EPL msimu huu. Ifuate Odds ya 2.07 kwa Southampton ndani ya Meridianbet.

 

Kwenye EPL Jumamosi hii, Old Trafford kuwaleta Manchester United vs Manchester City. Ni Manchester Derby! Ole Gunnar Solskjaer uso kwa uso na Pep Guardiola. Mchezo wa mwisho wa EPL kuchezwa Old Trafford, United alipigwa 5-0 na Liverpool, itakuaje wikiendi hii? Ole ataondokea hapa au atapona? Pep anahitaji kulipa kisasi cha kupigwa nje ndani na United msimu uliopita, atafanikiwa kwa United hii inayosuasua? Maliza maswali haya kwa kuifuata Odds ya 1.62 kwa City kunako Meridianbet.

Jumapili kutachezwa Milan Derby kule nchini Italia. Dimba la San Siro kuwakutanisha AC Milan vs Inter Milan. Wakati Inter ikijitutumua kwenye Ligi ya Mabingwa, Milan wanashika mkia kwenye kundi lao na wapo hatiani kuyaaga mashindano ya Uefa msimu huu. Kwenye Serie A ni habari nyingine kabisa. Milan hawajapoteza mchezo wowote mpaka sasa, Inter wamepoteza mchezo mmoja tu. Hakika, derby hii itakuwa ya kipekee wikiendi hii. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.25 kwa Inter Milan.

 

Jumatatu tutahamia kwenye mchongo wa Primeira Liga kule nchini Ureno. Benfica kuwaalika SC Braga. Kunatofauti ya pointi 6 kati ya timu hizi kwenye msimamo wa Ligi Soka nchini Ureno. Ni Braga atakayepunguza wigo au ni Benfica ataongeza pointi na kupanda nafasi? Hii hapa Odds ya 1.56 kwa Benfica.

 

Meridianbet, Nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!