
PABLO:TUNAKWENDA KUSAKA POINTI TATU ZA RUVU SHOOTING
PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wanakwenda Mwanza wakiwa wamejiandaa kushinda pointi tatu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ruvu Shooting unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa CCM Kirumba. Leo kikosi cha Simba kimekwea pipa na kuibuka Mwanza kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo huo ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa…